Bunge la Bajeti kuahirishwa Agosti kuna nini nyuma ya pazia?

Hizo gharama za mishahara na stahiki nyingine za wabunge kwa muda wa miezi miwili atazibeba nani? Ngoja tuone.
 
Shamba la bwana heri, mbuzi wa bwana heri na nyasi za bwana heri
 
Kila upande Mheshimiwa anadhulumiwa hata kwa watunga sheria.
 
Kwani bunge limetoa sababu gani kuhusiana na hilo? Maana wakati mwingine tunaumizana vichwa kutoa speculation bila msingi wa maana
"speculation"! Jambo likitangazwa rasmi na muhusika haliwi kwenye sifa uisemayo.
 
Mungu wangu anasema mwaka huu hakuna uchaguzi ,sasa sijui binadam wanatoa jeuri wapi.
 
Ni bunge la huko zanzibar(Baraza la wawakilishi) ndiyo litavunjwa mwezi agosti
 
Ni bunge la huko zanzibar(Baraza la wawakilishi) ndiyo litavunjwa mwezi agosti
We mbona unaonekana kama wakuja? Haya Mabunge la BMZ na Bara huwa almost yanaenda sambamba kwenye vikao vya Bajeti.
Kumbuka huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu ukizingatia hii ni nji moja. Uchaguzi Mkuu unahusisha Serikali zote 2. Hivo calendar za Mabunge znapishana kdogo sana.
 
Nadhani Wana intelligence hawalali!

Ni ngumu sana kujua idara inapika Nini kwa sasa!!

Kusogezwa mbele Bunge ni kusogeza mbele uchaguzi pia!!?

Au wamejipanga wawepo Hadi serikali ya awamu ya saba!!?

Ngoja tuone!!
 
Ni takwa la kikatiba na kwamba hata yule JK alishawai kufanya hivo.Hakuna jipya.
Hapa ni kuingia barabarani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…