Mto wa mbu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2021 Posts 4,507 Reaction score 11,367 Jun 25, 2025 #61 RESILIENT KATO said: Nadhani Wana intelligence hawalali! Ni ngumu sana kujua idara inapika Nini kwa sasa!! Kusogezwa mbele Bunge ni kusogeza mbele uchaguzi pia!!? Au wamejipanga wawepo Hadi serikali ya awamu ya saba!!? Ngoja tuone!! Click to expand... Iyo intelligence mnavyoisifu utadhani ni CIA,kumbe ni kina Mwesigwa
RESILIENT KATO said: Nadhani Wana intelligence hawalali! Ni ngumu sana kujua idara inapika Nini kwa sasa!! Kusogezwa mbele Bunge ni kusogeza mbele uchaguzi pia!!? Au wamejipanga wawepo Hadi serikali ya awamu ya saba!!? Ngoja tuone!! Click to expand... Iyo intelligence mnavyoisifu utadhani ni CIA,kumbe ni kina Mwesigwa
Mzalendo2015 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2012 Posts 7,225 Reaction score 9,830 Jun 25, 2025 Thread starter #62 Mto wa mbu said: Iyo intelligence mnavyoisifu utadhani ni CIA,kumbe ni kina Mwesigwa Click to expand... NI Intelijensia ya kushughulikia Wapinzani wa CCM tu!!
Mto wa mbu said: Iyo intelligence mnavyoisifu utadhani ni CIA,kumbe ni kina Mwesigwa Click to expand... NI Intelijensia ya kushughulikia Wapinzani wa CCM tu!!
Mto wa mbu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2021 Posts 4,507 Reaction score 11,367 Jun 25, 2025 #63 Mzalendo2015 said: NI Intelijensia ya kushughulikia Wapinzani wa CCM tu!! Click to expand... Yaani Tanzania katika matumizi ya IT kwenye intelligence ni sifuri
Mzalendo2015 said: NI Intelijensia ya kushughulikia Wapinzani wa CCM tu!! Click to expand... Yaani Tanzania katika matumizi ya IT kwenye intelligence ni sifuri
Dr Akili JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 5,313 Reaction score 4,751 Jun 25, 2025 #64 Ni kinyume na katiba? Muda wa ubunge ni exactly miaka 5 na si zaidi ya hapo unless kuna state of emergency
Ni kinyume na katiba? Muda wa ubunge ni exactly miaka 5 na si zaidi ya hapo unless kuna state of emergency
Mto wa mbu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2021 Posts 4,507 Reaction score 11,367 Jun 25, 2025 #65 Dr Akili said: Ni kinyume na katiba? Muda wa ubunge ni exactly miaka 5 na si zaidi ya hapo unless kuna state of emergency Click to expand... Toka 1995, bunge na Baraza la wawakilishi kuwa yanavunjwa June
Dr Akili said: Ni kinyume na katiba? Muda wa ubunge ni exactly miaka 5 na si zaidi ya hapo unless kuna state of emergency Click to expand... Toka 1995, bunge na Baraza la wawakilishi kuwa yanavunjwa June