Bunge la EU linajadili kumpitisha Lissu kuwania Tuzo ya Sakharov

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kundi la Wahafidhina na Wanamageuzi wa Ulaya (ECR Group) limeliomba Bunge la Ulaya kumtunuku Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani nchini Tanzania na mtetezi wa haki za binadamu, Tuzo ya Sakharov ya mwaka 2026.

Lissu aliteuliwa na kundi hilo mwezi Septemba, huku likisema amekuwa miongoni mwa sauti mashuhuri nchini Tanzania katika kutetea demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria.

Lissu, ambaye ni mwanasheria na Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, ametumia sehemu kubwa ya maisha yake ya kisiasa kuhamasisha uchaguzi huru na wa haki, utawala wa kikatiba, uhuru wa kujieleza na kuheshimu misingi ya utawala wa sheria.

Soma Pia: Lissu apendekezwa kuwania tuzo ya Sakharov, yenye heshima ya juu zaidi inayotolewa na Umoja wa Ulaya (EU)
===============

The ECR Group is calling on the European Parliament to award its 2026 Sakharov Prize to Tundu Lissu, the Tanzanian opposition leader and human-rights defender nominated by the Group in September.

Lissu has become one of the most prominent voices in Tanzania for democracy, human rights and the rule of law.

A lawyer and Chairman of Tanzania’s main opposition party CHADEMA, Lissu has spent much of his public life campaigning for free and fair elections, constitutional government, freedom of expression and the rule of law.

In 2017, he survived an assassination attempt in which he was shot multiple times. After receiving medical treatment abroad, he returned to Tanzania and resumed his political activities, standing in the 2020 presidential election. In April 2025, he was arrested following a political rally and charged with treason, a capital offence carrying the possibility of the death penalty.

Following a proposal by Carlo Fidanza, Leader of the ECR’s Italian Delegation, and Latvian MEP Rihards Kols, the ECR Group is now calling on the European Parliament to recognise the courage of its candidate, Tundu Lissu, by including him among the three finalists for the Prize.
 
Ama Kwa hakika Tundu Antipas Lissu anastahili kupata tuzo hiyo. Dunia inatambua mchango wake na thamani yake, lakini serikali ya Tanzania imevaa miwani ya mbao ili kukwepa ukweli huo. Poor Tanzanians.
 
Kwahiyo mashoga, katika kueneza ushoga wao, wakaona waje na hiyo tuzo iwasukume?!!! Waambieni Tanzania kamwe ushoga hautopata nafasi.....wamempata lissu tu huyo
 
Attachments

  • Cam.png
    Cam.png
    336.1 KB · Views: 12
Back
Top Bottom