Bunge la EU linajadili kumpitisha Lissu kuwania Tuzo ya Sakharov

Kundi la Wahafidhina na Wanamageuzi wa Ulaya (ECR Group) limeliomba Bunge la Ulaya kumtunuku Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani nchini Tanzania na mtetezi wa haki za binadamu, Tuzo ya Sakharov ya mwaka 2026.

Lissu aliteuliwa na kundi hilo mwezi Septemba, huku likisema amekuwa miongoni mwa sauti mashuhuri nchini Tanzania katika kutetea demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria.

Lissu, ambaye ni mwanasheria na Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, ametumia sehemu kubwa ya maisha yake ya kisiasa kuhamasisha uchaguzi huru na wa haki, utawala wa kikatiba, uhuru wa kujieleza na kuheshimu misingi ya utawala wa sheria.

Soma Pia: Lissu apendekezwa kuwania tuzo ya Sakharov, yenye heshima ya juu zaidi inayotolewa na Umoja wa Ulaya (EU)
===============

The ECR Group is calling on the European Parliament to award its 2026 Sakharov Prize to Tundu Lissu, the Tanzanian opposition leader and human-rights defender nominated by the Group in September.

Lissu has become one of the most prominent voices in Tanzania for democracy, human rights and the rule of law.

A lawyer and Chairman of Tanzania’s main opposition party CHADEMA, Lissu has spent much of his public life campaigning for free and fair elections, constitutional government, freedom of expression and the rule of law.

In 2017, he survived an assassination attempt in which he was shot multiple times. After receiving medical treatment abroad, he returned to Tanzania and resumed his political activities, standing in the 2020 presidential election. In April 2025, he was arrested following a political rally and charged with treason, a capital offence carrying the possibility of the death penalty.

Following a proposal by Carlo Fidanza, Leader of the ECR’s Italian Delegation, and Latvian MEP Rihards Kols, the ECR Group is now calling on the European Parliament to recognise the courage of its candidate, Tundu Lissu, by including him among the three finalists for the Prize.
ok.
kila la kheri mtu na mtu wake. :pedroP:
 
Attachments

  • 550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    218 KB · Views: 10
Sidhani kama serikali imewahi kutoa misimamo WA kupinga ushoga,kuna mwanasiasa ALIWAHI kusimama kupinga ushoga serikali ikasema HUO NI MSIMAMO AU MAONI YAKE BINAFSI na Wala si MSIMAMO au tamko la serikali.

nakumbuka MUSEVI aliwahi kusimama kupinga ushoga hadharani,..ni serikali za NCHI chache hasa zinazotegemea misaada zinaweza kujitokeza hadharani BODILY kupinga ushoga.
 
Kwahiyo mashoga, katika kueneza ushoga wao, wakaona waje na hiyo tuzo iwasukume?!!! Waambieni Tanzania kamwe ushoga hautopata nafasi.....wamempata lissu tu huyo
Acha upotoshaji usio na tija,mngetunga sheria kali zinazowabana mashoga basi mana yamejazana kibao mtaani.Tumia elimu yako vizuri mzee.
 
Mtu mweupe hakuwahi kupenda kuona amani ya bara la afrika,acha wampe tuzo kibaraka wao,aliyekusudia kuiharibu nchi yetu ili tu awaridhishe mabwana zake!, Tanzania shall stand firmly against any types of evils arised by vibaraka wao!...
Ningekuwa Baba yako Leo ningehakikisha hutoisahau hii siku...

Sisi ndio tunabomoa nchi yetu wenyewe kwasababu ya tamaa za waliopo madarakani...

Kama unauwezo wa kula kwa siku mara tatu, sidhani kama unafahamu umasikini na illiteracy rate iliyopo nchi hii..

Change begins at home not otherwise

Fool
 
Mungu wetu, ni Mungu wa haki, baraka zako zikazidi kuwaangukia watu wote Duniani wanaopigania na kutambua dhuluma na uonevu wanaofanyiwa watu wako wa Tanganyika. Siku zote ushindi una wewe Mungu wetu. Hata katika dhuluma zinazofanywa na watawala wauaji dhidi ya wote wanaokemea dhukuma, Ee Bwana tunajua, ushindi una wewe Mungu wetu wa haki; na laana i juu ya vichwa vyao wauaji.
 
Kwahiyo mashoga, katika kueneza ushoga wao, wakaona waje na hiyo tuzo iwasukume?!!! Waambieni Tanzania kamwe ushoga hautopata nafasi.....wamempata lissu tu huyo

Mimi sio nyumbu, sorry. Liko wazi kwa asiye nyumbu, ni manyumbu tu ndo watakazana kuficha hicho.
Bado unauchungu wa edda
 
Sidhani kama serikali imewahi kutoa misimamo WA kupinga ushoga,kuna mwanasiasa ALIWAHI kusimama kupinga ushoga serikali ikasema HUO NI MSIMAMO AU MAONI YAKE BINAFSI na Wala si MSIMAMO au tamko la serikali.

nakumbuka MUSEVI aliwahi kusimama kupinga ushoga hadharani,..ni serikali za NCHI chache hasa zinazotegemea misaada zinaweza kujitokeza hadharani BODILY kupinga ushoga.
BODILY = BOLDLY
 
🤣🤣
Mkuu ni humu tu katika hili na lile lakini nipo vizuri sana katika maisha ya kawaida
Unachojaribu kusema ni kwamba upuuzwe maana humu unajitoa ufahamu?
Tukisema Kuna watu wameshikiwa akili humu,maana yake ndio hii Sasa!
Kwanini usiiishi uhalisia wako?Kama ni nyeupe,sema ni nyeupe!Kama nyeusi sema nyeusi!
Sio hapa unasema ni nyeupe,ukienda sehemu nyingine unasema ni nyeusi!
Punguzeni uchawa kama sio chuki kwa kundi lingine!
 
Wewe ni mpumbavu sana kwa hiyo wakitoa misaada ni wafadhili huu ndo upumbavu ambao
Wana CCM wajinga wamebaki wanaushikilia
Kama wakiwapa wao wagawane na kununua magari hapo sawa wakitoa kwingine aaah wafadhili
 
Kundi la Wahafidhina na Wanamageuzi wa Ulaya (ECR Group) limeliomba Bunge la Ulaya kumtunuku Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani nchini Tanzania na mtetezi wa haki za binadamu, Tuzo ya Sakharov ya mwaka 2026.

Lissu aliteuliwa na kundi hilo mwezi Septemba, huku likisema amekuwa miongoni mwa sauti mashuhuri nchini Tanzania katika kutetea demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria.

Lissu, ambaye ni mwanasheria na Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, ametumia sehemu kubwa ya maisha yake ya kisiasa kuhamasisha uchaguzi huru na wa haki, utawala wa kikatiba, uhuru wa kujieleza na kuheshimu misingi ya utawala wa sheria.

Soma Pia: Lissu apendekezwa kuwania tuzo ya Sakharov, yenye heshima ya juu zaidi inayotolewa na Umoja wa Ulaya (EU)
===============

The ECR Group is calling on the European Parliament to award its 2026 Sakharov Prize to Tundu Lissu, the Tanzanian opposition leader and human-rights defender nominated by the Group in September.

Lissu has become one of the most prominent voices in Tanzania for democracy, human rights and the rule of law.

A lawyer and Chairman of Tanzania’s main opposition party CHADEMA, Lissu has spent much of his public life campaigning for free and fair elections, constitutional government, freedom of expression and the rule of law.

In 2017, he survived an assassination attempt in which he was shot multiple times. After receiving medical treatment abroad, he returned to Tanzania and resumed his political activities, standing in the 2020 presidential election. In April 2025, he was arrested following a political rally and charged with treason, a capital offence carrying the possibility of the death penalty.

Following a proposal by Carlo Fidanza, Leader of the ECR’s Italian Delegation, and Latvian MEP Rihards Kols, the ECR Group is now calling on the European Parliament to recognise the courage of its candidate, Tundu Lissu, by including him among the three finalists for the Prize.
Hongera kwao

YBWYB
 
Mtu mweupe hakuwahi kupenda kuona amani ya bara la afrika,acha wampe tuzo kibaraka wao,aliyekusudia kuiharibu nchi yetu ili tu awaridhishe mabwana zake!, Tanzania shall stand firmly against any types of evils arised by vibaraka wao!...
Ngoja Sasa huyo mtu mweupe atoe tuzo kwa Sa100,watu walewale mtakuja kusherehekea hiyo Tuzo!Kumuelewa mtu mweusi kazi sana!Ni uchawa pro max
 
Back
Top Bottom