Bunge la EU linajadili kumpitisha Lissu kuwania Tuzo ya Sakharov

Mtu mweupe hakuwahi kupenda kuona amani ya bara la afrika,acha wampe tuzo kibaraka wao,aliyekusudia kuiharibu nchi yetu ili tu awaridhishe mabwana zake!, Tanzania shall stand firmly against any types of evils arised by vibaraka wao!...
Kuna haja gani kujiunga na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali za kimataifa zinazolinda haki za binadamu?

Huwezi kutesa, kuteka na kuua raia wako halafu unaulizwa unasingizia mabeberu ni wabaya...

Hata kama ni Taifa mtashughulikiwa tu kwa mujibu wa sheria za kimataifa.. unafikiri kwamba kuwa kiongozi wa nchi ndio tiketi ya kufanya unyama dhidi ya binadamu... mtafikiwa na mtasghulikiwa, wako wapi akina Sadam Hussein, Gaddafi, Maduro na wengineo... ni suala la muda...
 
Tunajenga refinery Tanga,maneno mengi mpe mwajuma ndala ndefu.
 
Kwahiyo mashoga, katika kueneza ushoga wao, wakaona waje na hiyo tuzo iwasukume?!!! Waambieni Tanzania kamwe ushoga hautopata nafasi.....wamempata lissu tu huyo
Nyinyi si ndo mnaompinga Dudubaya na kampeni yake dhidi ya ushoga? Au BASATA siyo chombo cha CCM? Tafsiri yake ni kwamba Serikali ya CCM iko upande wa mashoga.
 
Kundi la Wahafidhina na Wanamageuzi wa Ulaya (ECR Group) limeliomba Bunge la Ulaya kumtunuku Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani nchini Tanzania na mtetezi wa haki za binadamu, Tuzo ya Sakharov ya mwaka 2026.

Lissu aliteuliwa na kundi hilo mwezi Septemba, huku likisema amekuwa miongoni mwa sauti mashuhuri nchini Tanzania katika kutetea demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria.

Lissu, ambaye ni mwanasheria na Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, ametumia sehemu kubwa ya maisha yake ya kisiasa kuhamasisha uchaguzi huru na wa haki, utawala wa kikatiba, uhuru wa kujieleza na kuheshimu misingi ya utawala wa sheria.

Soma Pia: Lissu apendekezwa kuwania tuzo ya Sakharov, yenye heshima ya juu zaidi inayotolewa na Umoja wa Ulaya (EU)
===============

The ECR Group is calling on the European Parliament to award its 2026 Sakharov Prize to Tundu Lissu, the Tanzanian opposition leader and human-rights defender nominated by the Group in September.

Lissu has become one of the most prominent voices in Tanzania for democracy, human rights and the rule of law.

A lawyer and Chairman of Tanzania’s main opposition party CHADEMA, Lissu has spent much of his public life campaigning for free and fair elections, constitutional government, freedom of expression and the rule of law.

In 2017, he survived an assassination attempt in which he was shot multiple times. After receiving medical treatment abroad, he returned to Tanzania and resumed his political activities, standing in the 2020 presidential election. In April 2025, he was arrested following a political rally and charged with treason, a capital offence carrying the possibility of the death penalty.

Following a proposal by Carlo Fidanza, Leader of the ECR’s Italian Delegation, and Latvian MEP Rihards Kols, the ECR Group is now calling on the European Parliament to recognise the courage of its candidate, Tundu Lissu, by including him among the three finalists for the Prize.
CHADEMA wenyewe hawana tuzo ya kumpa? Mpk wazungu wanawazidi!
 
Wazee wa Matako Tu hao
 
Mtu mweupe hakuwahi kupenda kuona amani ya bara la afrika,acha wampe tuzo kibaraka wao,aliyekusudia kuiharibu nchi yetu ili tu awaridhishe mabwana zake!, Tanzania shall stand firmly against any types of evils arised by vibaraka wao!...
Good good bro
 
Huna akili kwa sababu ya umasikini ulionao
Ahahahahaha! Nakunywa Konyagi kila siku na ninasema humu na sasa hivi nakunywa Konyagi.
Watoto wangu wapi vyuo vikuu na hawana mikopo ya bodi. Nalipa mwenyewe.

Ila Makamu Mwenyekiti wako Heche ambaye ni tajiri mkewe ni Mwalimu wa Sekondari ya Kata ya Serikali inayoitwa NYABULOGOYA! Ahahahahaha!!
 
Kundi la Wahafidhina na Wanamageuzi wa Ulaya (ECR Group) limeliomba Bunge la Ulaya kumtunuku Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani nchini Tanzania na mtetezi wa haki za binadamu, Tuzo ya Sakharov ya mwaka 2026.

Lissu aliteuliwa na kundi hilo mwezi Septemba, huku likisema amekuwa miongoni mwa sauti mashuhuri nchini Tanzania katika kutetea demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria.

Lissu, ambaye ni mwanasheria na Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, ametumia sehemu kubwa ya maisha yake ya kisiasa kuhamasisha uchaguzi huru na wa haki, utawala wa kikatiba, uhuru wa kujieleza na kuheshimu misingi ya utawala wa sheria.

Soma Pia: Lissu apendekezwa kuwania tuzo ya Sakharov, yenye heshima ya juu zaidi inayotolewa na Umoja wa Ulaya (EU)
===============

The ECR Group is calling on the European Parliament to award its 2026 Sakharov Prize to Tundu Lissu, the Tanzanian opposition leader and human-rights defender nominated by the Group in September.

Lissu has become one of the most prominent voices in Tanzania for democracy, human rights and the rule of law.

A lawyer and Chairman of Tanzania’s main opposition party CHADEMA, Lissu has spent much of his public life campaigning for free and fair elections, constitutional government, freedom of expression and the rule of law.

In 2017, he survived an assassination attempt in which he was shot multiple times. After receiving medical treatment abroad, he returned to Tanzania and resumed his political activities, standing in the 2020 presidential election. In April 2025, he was arrested following a political rally and charged with treason, a capital offence carrying the possibility of the death penalty.

Following a proposal by Carlo Fidanza, Leader of the ECR’s Italian Delegation, and Latvian MEP Rihards Kols, the ECR Group is now calling on the European Parliament to recognise the courage of its candidate, Tundu Lissu, by including him among the three finalists for the Prize.
Na lini watampa tuzo Besigye wa Uganda? Wazungu wa Ulaya wamekuwa km makahaba, siku hizi hao mashoga yanadharauliwa hakuna anayeyajali
 
Samia hatakanyaga Ulaya maisha yake yote
 
Tunajenga refinery Tanga,maneno mengi mpe mwajuma ndala ndefu.
Hio refinery itkusaidia nini kama makaa ya mawe hayatusaidii, gas haikusaidii...

Hio refinery itajengwa ili Abdul, Kizigha na watawala wengine na ndugu zao wazidi kununua ma G wagon 63 na Rolls Royce... utaendelea kuwasifu na kuwaabudu.. na watoto wako watakurithi nao wataendelea kusifu na kuabudu huku wakiishi katika umasikini..
 
Mimi sio nyumbu, sorry. Liko wazi kwa asiye nyumbu, ni manyumbu tu ndo watakazana kuficha hicho.
Ungekuwa nyumbu ungekuwa mara 100 bora kuliko ung’ombe wako. Sasa hivi wewe ni kukaa zizini kusubiri kuswagwa na mfugaji wako!
 
Kwahiyo mashoga, katika kueneza ushoga wao, wakaona waje na hiyo tuzo iwasukume?!!! Waambieni Tanzania kamwe ushoga hautopata nafasi.....wamempata lissu tu huyo
Sorry for to say this, if mentioned 'shoga' several times means wewe ni shoga. Muda mwingine uache upumbavu
 
Back
Top Bottom