MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Inategemea Na Race kuna Race watu wake ni wakubwa Kwa miaka hiyo na ndo mana Ukisoma Sheria ya Tanzania Iko wazi kabisa..
Na ndo maana Wakaruhusu Kuoa Mtoto wa Miaka 13 kwa Tanzania Unafikiri Miaka 13 si ni Ongezeko la Miaka minne kwenye Miaka 9 uliyotaja?
Mbona Tanzania Imeruhusiwa? Ina maana haina shida Ukiona Hivyo..
Ila kwangu mimi Atleast Msichana awe na Miaka 20 na kuendelea yaani angalau nasi hata 30 Ndo nitaweza kuhisi Hisia Za mapenzi
Hamna cha race wala nini, katoto ka miaka tisa lazima utakua chizi ukichomeka dushe lako, hata iwe sheria ya wapi....haileti mantiki, mna ukatili sana nyie watu....