Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 860
- 253
Kama mliwezwa kugeuzwa boya na nyerere kwa kuufuta utanganyika wenu basi si ubaya kugeuzwa boya kwa utanzania wenu,zanzibar kwanza.
Hivi unaakili timamu kweli jombaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mliwezwa kugeuzwa boya na nyerere kwa kuufuta utanganyika wenu basi si ubaya kugeuzwa boya kwa utanzania wenu,zanzibar kwanza.
Wakuu kwa sasa issue sio jina la rasimu ya katiba, issue ni contents za rasimu ya katiba. Tatizo ni kuwa bado serikali na CCM wanataka katiba iwe yao iwe kwa mfano wao na isireflect maoni ya watanzania.
Ukiangalia wanachofanya sasa ni kuwa wanalalamikia kipengele ambacho watanzania wengine wamekitolea maoni, nacho ni muundo wa serikali.
Hoja ya serikali na CCM kwa sasa ni kuwa maoni yao yaani ya serikali mbili, na maoni ya wale wanaotaka serikali moja yahajawekwa kwenye rasimu ya katiba. Kwa hiyo wao wanaona kuwa kuna haja ya kuwepo kwa options tatu ili zijadiliwe kwenye bunge la katiba.
Kuna baadhi ya watu ndani ya serikali maoni ya serikali ni kuwa tunatakiwa kuwa na serikali moja, lakini maoni hayo hayajawekwa kwenye rasimu ya katiba. Mimi huwa nasema siku zote ni Muumini wa muugano huu, huu wa sasa naona ni usanii fulani. Muungano wa kweli ni wa serikali moja. lakini my view is not represented in the draft constitution. Kwa hiyo kwa upande fulani naona kama maoni yangu kwa upande fulani yamepuuzwa kabisa kwenye rasimu. Ningependa maoni yangu yajadiliwe na nijue ni kwanini hayafai.
CCM wao maoni yao ni serikali mbili, kwa kuwa kwao inalipa na wanaweza kuplay politics vizuri kwenye issue hii. Ingawa maoni yao sio popular kama yalivyo sa serikali moja kwa watu wa Zanzibar, lakini ni maoni yanayotuka kwa influential lobby. Also worthy discussing na yapanguliwe kwa hoja na sio just to sweep them under the rug.
Believe me, serikali itatumia excuse hiyo ya kusema hawajawekewa options za kujadili, kumbomoa Mzee Warioba. Watasema bunge la katiba linatakiwa kujadili options na sio suggestion moja.
And if that will be the case, kama wakishinikiza kujadili options zote, basi kitakachofanyika ni kupitisha will ya CCM. In otherwords tujiandae kuona kazi ya mzee warioba kukusanya maoni ya watu in regard to Muungano itafutwa.
CC: Mag3, EMT, JokaKuu, Pasco, Zakumi, MTAZAMO, zumbemkuu, Jasusi, Candid Scope, gfsonwin, Zinedine
Nina imani kubwa sana kwamba suala hili tayari linafanyiwa kazi na litakuwa elaborated kwenye rules of procedure, vinginevyo iwapo bunge litaanza kazi ya kupitia rasimu ya katiba bila kuweka kanuni hii mahala pake, basi bunge hili litamalizika bila ya kukamilisha kazi yake kwani litavunjika na kulipeleka taifa kwenye scenario(s) Nguruvi3 alizojadili elsewhere;
I stand to be corrected.
Cc JokaKuu, Candid Scope, EMT, Pasco, MTAZAMO, Bongolander, Zakumi, Jasusi
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu Mchambuzi, mimi kiukweli nimeipenda hii!.Kuhusu ccm na mkakati wake wa serikali mbili, I will keep on repeating myself kwamba "even a magician runs out of tricks";
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu EMT, hapa umetisha na kumaliza kila kitu!, bahati mbaya hapa tulipofikia, its too little too late!.Hivyo, ni muhimu process ya kutengeneza ya katiba mpya iongozwe na some normative principles. Vinginevyo, ni sawa na kuwa na sheria ambayo haina policy backing. Hizo normative principles ni pamoja na
- Process ya kutengeneza katiba lazima ifanywe na bunge la katiba lililochaguliwa na wananchi moja kwa moja.
- Hili bunge la katiba lazima liwe na unlimted power in the constitutional making. Litakuwa na unlimited power kwa sababu ilitakuwa limechaguliwa directly na wananchi ambao ndiyo wenye mamlaka ya mwisho na nchi yao.
- Mchakato mzima wa kutengeneza katiba mpya lazima uwe inclusive and participatory.
Hivyo unataka kutuambia bunge la katiba,muhimu kwa ni maoni yao eti kwa sababu ni wawakilishi wa wananchi,
hivyo mawzo yao ni sahihi kuliko maoni na mawzo yaliyotoka moja kwa moja kwa wananchi???
Mkuu Bongolander,
Iwapo nia ni kuboresha muungano, na hizo ndio hadidu rejea za sheria ya mabadiliko ya katiba ambazo tume ya warioba walipewa wazifanyie kazi, the "in practice", hasa given mgogoro wa muungano kwa miaka 50, baina ya serikali moja na serikali tatu, zipi zitaboresha muungano? Ni wazi kwamba ni serikali tatu, if we are to be pragmatic.
Nakubaliana na hoja za wadau wengine kwamba awali ya yote, wananchi wangeulizwa iwapo wanautaka muungano au hawautaki, lakini hili halikufanyika, so till then and as things stand, migogoro husika itapunguzwa na serikali tatu, kwani serikali mbili zimeshindwa, na serikali moja haijawahi kupewa nafasi na hii ni kwa sababu hoja kuu ya wazanzibari dhidi ya mfumo wa muungano ni mfumo ambao unawameza kama moja ya nchi washirika wa muungano, na katiba yao ya 2010 imelenga kuhakikisha kwamba hili halitokei; katika hali hii, hoja ya serikali moja inakuwa na mashiko gani? Isitoshe, hata mkataba wa muungano (1964) haukulenga kuwa na mfumo wa aina hii;
Kuhusu ccm na mkakati wake wa serikali mbili, I will keep on repeating myself kwamba "even a magician runs out of tricks";
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu Mzee Mwanakijiji,
This is in reference to post #133. Ningependa kupingana na (utabiri?) wako kwamba kutakuwa na "voice vote" article by article", kwa hoja ifuatayo:
Kimsingi, rasimu ya katiba has to be debated, 'article by article' na kila article lazima iwe adopted by consensus. Lakini kwa vile upo uwezekano wa hili suala la "consensus" kutotokea katika articles kadhaa, hapa ndipo umuhimu wa utaratibu wa "two-thirds majority" unapojitokeza. Katika kanuni zinazoendelea kusomwa/kupitiwa na wajumbe ili wazielewe (na iwapo kuna haja, kushauri zirekebishwe?), ni lazima hii "rule of procedure" (two thirds vote) itakuwa considered vinginevyo bunge hili litaishia katikati kwa wajumbe kususa n.k. Nadhani moja ya sababu ya bunge hili kuhairishwa kwa siku nne has to do with this very same issue;
Nina imani kubwa sana kwamba suala hili tayari linafanyiwa kazi na litakuwa elaborated kwenye rules of procedure, vinginevyo iwapo bunge litaanza kazi ya kupitia rasimu ya katiba bila kuweka kanuni hii mahala pake, basi bunge hili litamalizika bila ya kukamilisha kazi yake kwani litavunjika na kulipeleka taifa kwenye scenario(s) Nguruvi3 alizojadili elsewhere;
I stand to be corrected.
Cc JokaKuu, Candid Scope, EMT, Pasco, MTAZAMO, Zakumi, Jasusi
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Kuhusu ccm na mkakati wake wa serikali mbili, I will keep on repeating myself kwamba "even a magician runs out of tricks";
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mchambuzi, a great magician ALWAYS has an extra trick up his sleeves; vinginevyo, a great magician is not. LOL
Out of curiosity, do magicians run out of time as well?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Out of curiosity, do magicians run out of time as well?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mchambuzi i beg to differ. Sioni kama serikali tatu zinaweza kuimairisha muungano, kwa kuwa sioni kama serikali ya Muungano itakuwa na maana yoyote. Serikali ya Zanzibar itakuwa ina qualify kuwa serikali, in sense that it will have land, people with identity na mipaka yake na hata raslimali zake, ya Tanganyika pia itakuwa hivyo hivyo, ya Muungano itakuwa inaelea tu, it will be a useless thing. Kwa hiyo serikali tatu ni kutandika njia ya kuua muungano. Unless tutangaze kuwa jamhuri ya muungano wa Tanzania iwe United Kingdom of Tanzania, na rais awe Monarchy, which in other words itakuwa ni kuifufua Tanganyika na kuwa serikali mbili za kweli, yaani nchi mbili tofauti kabisa.
The only way kama kweli tunataka Muungano ni serikali moja ya Tanzania. Serikali mbili ni current form ni kudanganyana, na serikali tatu as stipulated in the draft constitution is a way towards killing union.
So it is either one government or die. Kurudi kwenye serikali kama zilivyopendekezwa na Mwalimu na Mzee Karume ni kudanganyana, serikali tatu bado ni sarakasi tu za kisiasa. Kama serikali moja haitawezekana, let the marriage break, we keep being friends.
If Zanzibaris do care much about their identity as they put in their 2010 constitution, they should well understand what that means in terms of union, they should also understand that we mainlanders know a thing or two about identity, not that we do not like it or we do not know it. We chose to rise above identity politics and be Tanzanians, not Tanganyikans, some of us do not want to go that low just because some demagogue politician in Zanzibar wants so.
When articles of union were written, economic and political realities were not like they are now. Sidhani kama ni msahafu ambao hauwezi kubadilishwa.
Let us be honest mchambuzi, serikali tatu italeta serikali nyingine ambayo itakuwa kwenye mkaratasi tu, itakuwa ni serikali ya kisanii.
Mchambuzi i beg to differ. Sioni kama serikali tatu zinaweza kuimairisha muungano, kwa kuwa sioni kama serikali ya Muungano itakuwa na maana yoyote. Serikali ya Zanzibar itakuwa ina qualify kuwa serikali, in sense that it will have land, people with identity na mipaka yake na hata raslimali zake, ya Tanganyika pia itakuwa hivyo hivyo, ya Muungano itakuwa inaelea tu, it will be a useless thing. Kwa hiyo serikali tatu ni kutandika njia ya kuua muungano. Unless tutangaze kuwa jamhuri ya muungano wa Tanzania iwe United Kingdom of Tanzania, na rais awe Monarchy, which in other words itakuwa ni kuifufua Tanganyika na kuwa serikali mbili za kweli, yaani nchi mbili tofauti kabisa.
Kabla sijachangia hoja zako naomba nimuulize Mzee Mwanakijiji kuhusu mfumo wa elektroniki katika kupiga kura.The only way kama kweli tunataka Muungano ni serikali moja ya Tanzania. Serikali mbili ni current form ni kudanganyana, na serikali tatu as stipulated in the draft constitution is a way towards killing union.