Bunge la Kenya lapitisha sheria kwamba nyumba zote zitakazojengwa ziwe na mfumo wa kusambaza gesi

Nilijua tu ROSTAM AZIZI alipo wekeza kenya ni lazima awaingizie ufisadi wake serikali....wako watu wanadhani Rostam azizi ni mfanyabiashara ..huyo ni fisadi wa kiserikali na kimifumo ya kiserikali.

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Hawa hawana gesi Ila Samia alipoingia madarakani wakamwalika haraka wakasaini mkataba wa bomba la gesi. TPDC wameweka gesi kwenye nyumba zao badala ya kusambaza majumbani.
 
Hizi ni mbwembwe za Bwanyenye.
Kiuhalisia hali ni tofauti sana.
Yaani ule utiriri wa nyumba (vibanda vya mbwa) za kule Kibera (Nairobi) ambazo hazina hata vyoo, huo muundo wa kufungwa gas pipe unaanzia wapi?
 
Kenya hawakumbatii masikini

Tanzania inakumbatia na kutukuza masikini na umasikini
 
Hata Kibera itawekewa mfumo wa gesi? Hakuna vyoo wanakimbilia mfumo wa gesi.
 
iza bro. i feel your pain.
Huyo jamaa ammjui serikali yenu anaweza kuiambia wapige marufuku mafuta ya taa na mkaa bila kujali uwezo wa wananchi ili tu gesi yake inunuliwe...ksma hapa tz kakwamisha mwabwa la umeme ili biashara yake ya gesi na kuuza umeme wa gesi ifanikiwe ni muhuni haswa

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Kenya hawakumbatii masikini

Tanzania inakumbatia na kutukuza masikini na umasikini
Hili nchi iendelee Masikini inatakiwa wainuliwe siyo kutelekezwa ...hivyo ndivyo china ilivyo fanya na kufanikiwa kiuchumi kwa haraka

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
hao wahuni ndio tunaotaka
 
Hizi ni mbwembwe za Bwanyenye.
Kiuhalisia hali ni tofauti sana.
Yaani ule utiriri wa nyumba (vibanda vya mbwa) za kule Kibera (Nairobi) ambazo hazina hata vyoo, huo muundo wa kufungwa gas pipe unaanzia wapi?
Unaijua Nairobi au ni Kibera tu ulipoishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…