kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Bibi katingwa na kudemka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua tu ROSTAM AZIZI alipo wekeza kenya ni lazima awaingizie ufisadi wake serikali....wako watu wanadhani Rostam azizi ni mfanyabiashara ..huyo ni fisadi wa kiserikali na kimifumo ya kiserikali.Hawa ndio watu serious kwenye masuala ya miundombinu na maendeleo ya matumizi ya gesi asilia hata kama hawazalishi gesi hiyo!
Tanzania pamoja na kuwa na gesi nyingi hatujaweza kuisambaza hata Dar ambapo tayari mabomba kutoka Songosongo yalishawekwa zamani.
Ni hawa akina Rostam tulioshindwa kuwatumia hapa kwetu wanatumika Kenya!
Kenyans will now be required to install Liquified Petroleum Gas (LPG) pipes and taps, all of which should be incorporated in building designs before approval, following cabinet resolutions passed on Monday.
Hizi ni mbwembwe za Bwanyenye.Hawa ndio watu serious kwenye masuala ya miundombinu na maendeleo ya matumizi ya gesi asilia hata kama hawazalishi gesi hiyo!
Tanzania pamoja na kuwa na gesi nyingi hatujaweza kuisambaza hata Dar ambapo tayari mabomba kutoka Songosongo yalishawekwa zamani.
Ni hawa akina Rostam tulioshindwa kuwatumia hapa kwetu wanatumika Kenya!
Kenyans will now be required to install Liquified Petroleum Gas (LPG) pipes and taps, all of which should be incorporated in building designs before approval, following cabinet resolutions passed on Monday.
iza bro. i feel your pain.Nilijua tu ROSTAM AZIZI alipo wekeza kenya ni lazima awaingizie ufisadi wake serikali....wako watu wanadhani Rostam azizi ni mfanyabiashara ..huyo ni fisadi wa kiserikali na kimifumo ya kiserikali.
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa ammjui serikali yenu anaweza kuiambia wapige marufuku mafuta ya taa na mkaa bila kujali uwezo wa wananchi ili tu gesi yake inunuliwe...ksma hapa tz kakwamisha mwabwa la umeme ili biashara yake ya gesi na kuuza umeme wa gesi ifanikiwe ni muhuni haswaiza bro. i feel your pain.
Hili nchi iendelee Masikini inatakiwa wainuliwe siyo kutelekezwa ...hivyo ndivyo china ilivyo fanya na kufanikiwa kiuchumi kwa harakaKenya hawakumbatii masikini
Tanzania inakumbatia na kutukuza masikini na umasikini
hao wahuni ndio tunaotakaHuyo jamaa ammjui serikali yenu anaweza kuiambia wapige marufuku mafuta ya taa na mkaa bila kujali uwezo wa wananchi ili tu gesi yake inunuliwe...ksma hapa tz kakwamisha mwabwa la umeme ili biashara yake ya gesi na kuuza umeme wa gesi ifanikiwe ni muhuni haswa
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Kenya hawakumbatii masikini
Tanzania inakumbatia na kutukuza masikini na umasikini
Unaijua Nairobi au ni Kibera tu ulipoishi?Hizi ni mbwembwe za Bwanyenye.
Kiuhalisia hali ni tofauti sana.
Yaani ule utiriri wa nyumba (vibanda vya mbwa) za kule Kibera (Nairobi) ambazo hazina hata vyoo, huo muundo wa kufungwa gas pipe unaanzia wapi?