FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Utofauti ni mkubwa sana hasa kwenye maudhui.Douyin na TikTok ni the same utofauti ni ipi product ya global na ipi ya mainland.
Douyin imekuwa mainland muda mrefu hata kabla TikTok kuanzishwa.
Wanaotumia Douyin, hawajui kinachoendelea kwenye TikTok. Hata zile accounts maarufu za kimataifa kwenye TikTok ukizitafuta Douyin huzipati ng'o!
Ndio maana nikasema, Wachina wanatumia mfumo wao tofauti unaofanana na TikTok ambao umedhibitiwa kikamilifu na serikali.