Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Basi huna uhakika na unaloongea bali unaweza kuwa unakumbuka historia ya electronics ya Japan iliyovuma sana miaka ya 80 kwenye intertainment industry ukajiaminisha kuywa huwa ndio ulikuwa mwanzo wa electronic processors jambo ambalo siyo kweli.Bado unahitaji kuongeza ujuzi mkuu.
Unajua kuwa miaka ya 1980 Japan ndio iliyokuwa kinara wa kutengeneza semiconductors duniani zenye ubora wa hali ya juu na kulitawala soko la dunia?
Hivi kwamba makampuni ya Marekani yalikuwa yanakaribia kufa?
Kasome hizi mbinu 4 makampuni ya kutengeneza semiconductors ya Marekani na serikali ya Marekani yalitumia kuiangusha Japan
●The adopting Japanese manufacturing approaches in semiconductor
●The dumping petition
●The rising value of the yen
●The lawsuit for intellectual property infringement
Ukitoka hapo ndio uje sasa tufanye discussion kwa kina
Intellectual property inahitaji kuhifadhiwa, siyo mtu unakuja una clone kazi ambayo mwenzio aliwekeza raslimali zake na muda mrefu ukitegemea upate faida kirahisi tu. Inawezekana Toshiba wali-clone Zilog80 bila kibali cha Zilog wenyewe hivyo sheria ikachukua mkondo wake.
Hata Toshiba wenyewe hawaclaim credit yoyote kwenye uvumbuzi wa Microprocessors bali wanasema credits zote zieendee Intel. Hata hivyo kabla ya Intel, mtu wa kwanza kujishughulisha na utengezaji wa microrocessrs ni Dr Jack Kilby (JK) wa Trexas Instruments aliyestabilize SR Flip Flops na kuzita JK (Jack Kilby) Flip flops. Kwa hiyo root source in TI kabla ya Intel haijaifikisha practical level.