Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Computer ya kwanza Toshiba kutengeneza wenyewe mwanzoni mwa miaka ya themanini ilitumia Processor ya Zilog80 ambayo ilitengezwa mwishoni mwa miaka ya 70 na kampuni ya Kimarekani iliyokuwa imeiga Intel 8080. Processors za i8008 ndizo zilikuwa processsor za kwanza kwanza kabisa kutumika kwenye electronic products. Toshiba walivyojaribu ku-catchup kwenye industry ya processor walitoa 12-bit processor ambayo ilitolewa mwaka 1973 ikiwa ni miaka miwili nyuma ya i8008 iliyokuwa imetolewa mwaka 1971 mbele yake; Hii TLCS-12 processor haikufanya vizuri kwenye soko na ikafifia ndani ya miaka miwili tu. Processor zote za TLCS zilzofuata zilikuwa ni clones za Zilog tu.Unaonaje wewe ukaanzisha hiyo thread? Ili tuje kufanya analysis
Processor pekee unayoweza kusema ilitoka Japan kipinndi hicho ni processors za dot-matrix display controller ambazo zilitolewa na Hitachi HD44780 na baadaye zikatumika pia kwenye dot-matrix printers; hizi zimeendelea kutawala soko hadi leo.