fanya research acha uvivuUnajua hizo app unazozichukulia poa zinaingiza ukwasi kiasi gani?USA ana jambo lake na rival wake China,ni wivu tu wa kibiashara!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fanya research acha uvivuUnajua hizo app unazozichukulia poa zinaingiza ukwasi kiasi gani?USA ana jambo lake na rival wake China,ni wivu tu wa kibiashara!
kwanin utaje tiktok tu na si app zote zikiwemo za US?nyie misukule mpo busy kushabikia ila hamuangalii kwenu kama hiyo tiktok ina athari
ulaya sio kama afrika , ujinga wako usilazimishe kwa watu wa ulaya , ulaya wameanza tangu zama kupishana na China na USA ndo kavutwa huo upande wa uadui na ChinaKabisa,USA mpaka analazimisha mataifa mengine kutofanya biashara na China!EU nao kama mazombie tu kwa US!
The Netherlands has announced new rules restricting exports of certain semiconductor manufacturing equipment. It follows pressure from the US to curb the sale of computer chip technology to China. The Dutch government did not cite this as a reason though, saying it had taken the step on national security grounds
Marekani wana hofu mno na China.Wakitoa maoni ya kupitisha Muswada huo, Wabunge wamesema TikTok inahatarisha Usalama wa Nchi kwasababu China inaweza kuitumia ByteDance kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Marekani na Taarifa Binafsi za Watumiaji.
fanya research , acha kuendeshwa na ushabiki , MAREKANI NDO kaifanya China ifike hapo , China ni htr hata huku kwetu inasemekama aliweka vinasa sauti ndan ya jengo la makao makuu ya AU , ila waafrika ndo mpo busy kumtakatisha ChinaUSA anaumizwa kichwa na China kiasi kwamba mpaka analazimisha matakwa yake hadi kwa washirika wake dhidi ya China!
The Netherlands has announced new rules restricting exports of certain semiconductor manufacturing equipment. It follows pressure from the US to curb the sale of computer chip technology to China. The Dutch government did not cite this as a reason though, saying it had taken the step on national security
mungu kakupa akili ila umeamua kusaidiwa kufikiri na wachina , hiyo tiktok unaijuwa ?Nimegundua mizungu ina wivu na husda Kama miafrika tu. Na hasa marekani
Kijana acha kutokwa na maneno hovyo hovyo,US ni wivu tu wa maendeleo unaomsumbua,ana hofu na jinsi china inavyokuja juu kwa kasi kitech!fanya research acha uvivu
mimi nshafuta acc ya tiktok , ni app ya kisiasa sana , ukikosoa upande wa Ujamaa I.e China na Russia wanafuta comment yako ila ukikosoa west hata kwa uongo wanaachaHiii Tik Tok ingekuwa ya kwao wasinge ifungia tatizo wana wivu wa kimaendeleo
ndio maana mnagawa maliasili za nchi ili mje mpigane kuzirudisha ? akili ya mtu mweusi ni sufuriMarekani hawajiamini,sasa wao si ndiyo wanajifanya kila kitu,kwa nini wasizuie hayo wanayohisi yatatokea?Pumbavu zao.
nmefuta acc ya tiktok sababu ya ujinga huo , hii app ipo ant west , inaacha uongo wote wa east ila inapambana kuufuta ukwel wote wa westKwanza ni maswala ya data za watumiaji.
Ni rahisi kujua wangapi wanasupport Mgombea A na wangapi mgombea B.
Pili, wanaweza kutumia app, kusambaza taarifa za uongo kuhusu mgombea fulani.
Au wakaminya taarifa za mgombea fulani.
Hii ni kwa ufupi tuu.
wewe nyanyy wa buza umejifunza nn ? unaagiza mchele wkt shinyanga wanalima ni swala la kuwapa msaada tu , etu unarishwa na burma kanchi sw na mkoa wetuMarekani anataka yeye ndiye atawale inapohusu teknolojia (technology hegemony) hasa ushindani unapokuwa mkali
Miaka ya 1980 walishawahi kuifanyia hivyo hivyo Japan pale walipohakikisha teknolojia ya Japan haiteki soko la dunia.
Moja ya makampuni ya Japan yaliyopigwa ban ni TOSHIBA
View attachment 2933908
Miaka hiyohiyo pia Marekani walipiga ban magari kutoka Japan
View attachment 2933910
Wanachofanyiwa TikTok ni mwendelezo wa sera zilezile za ukandamizi za Marekani alizofanyiwa Japan
Wakiwa kwenye media wanasiasa wa Marekani wanahubiri free trade. Wakizidiwa wanapiga ban
iNgoja china nao walipize kufungia mitandao ya wamarekani wao watapoteza idadi kubwa ya watumiaji.
Haujaeleweka ulichoandikawewe nyanyy wa buza umejifunza nn ? unaagiza mchele wkt shinyanga wanalima ni swala la kuwapa msaada tu , etu unarishwa na burma kanchi sw na mkoa wetu
China alianza 2009 kufungia app za US. Kuna shida us ikifanya the same?Marekani nao siku hizi hawajiamini kabisa kama chama kile.
WASHINGTON — The last time a trove of leaked documents exposed U.S. spying operations around the world, the reaction from allied governments was swift and severe.fanya research , acha kuendeshwa na ushabiki , MAREKANI NDO kaifanya China ifike hapo , China ni htr hata huku kwetu inasemekama aliweka vinasa sauti ndan ya jengo la makao makuu ya AU , ila waafrika ndo mpo busy kumtakatisha China
Mbona Marekani wanadukua mawasiliano ya viongozi mbalimbali wa Ulayafanya research , acha kuendeshwa na ushabiki , MAREKANI NDO kaifanya China ifike hapo , China ni htr hata huku kwetu inasemekama aliweka vinasa sauti ndan ya jengo la makao makuu ya AU , ila waafrika ndo mpo busy kumtakatisha China
China haijawahi kufungia social media apps za MarekaniChina alianza 2009 kufungia app za US. Kuna shida us ikifanya the same?
Sasa wewe una faida gani hata ukifuta TikTok kwenye simu yako?nmefuta acc ya tiktok sababu ya ujinga huo , hii app ipo ant west , inaacha uongo wote wa east ila inapambana kuufuta ukwel wote wa west
US walimdukua hadi UN secretary General!Mbona Marekani wanadukua mawasiliano ya viongozi mbalimbali wa Ulaya
Ukikaa kizembe unadukuliwa tuUS walimdukua hadi UN secretary General!
The U.S. spied on U.N. Secretary-General Antonio Guterres, listening in on conversations he had with aides and other diplomatic officials about his frustrations toward Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy and other contentious issues, according to highly classified leaked documents – the latest in a massive and apparently ongoing national security breach.