FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Utofauti ni mkubwa sana hasa kwenye maudhui.Douyin na TikTok ni the same utofauti ni ipi product ya global na ipi ya mainland.
Douyin imekuwa mainland muda mrefu hata kabla TikTok kuanzishwa.
Tatizo wewe unaungaunga mambo kuhalalisha maneno yako yasiyo na ukweli. Umedai kuwa Marekani waliilazimisha Toshiba kutoa blueprints za Microprocessors zake wakazipeleka Intel. Nimekuonyesha kuwa Intel alikuwa mbele sana kwenye industry ya microprocessors wala Toshiba hakufua dafu. Baada ya hapo unaanza kuleta redio za Toshiba na mambo mengine yasiyohusiana na microprocessors. Radio ni teknologia iliyokuwapo tangu enzi za valves tangia vipindi vya Morse code, haikutika Toshiba. Na hata Transistor za kwanza zilitengenezwa na akina Shockley na timu yake hapo Bell Labs huko Marekani, siyo Toshiba.Bado haujaelewa nilichoandika
Nenda kasome tena na Plaza Accord unaweza angalau ukaanza kupata mwanga
Kuna watu hawafahamu, hivi vikampuni vinakusanya taarifa nyingi sana na nyeti, unapoviruhusu hujui nini kina ibwa nini kipo salama.Si ndo hapo akifanya Marekani iwe nongwa
Hakuna unachojua mbuzi wewe tiktok ni mtandao wa nchi gani? Na unajua kwanini mbaya wanazifuta? Toa maelezo msingi kwanza sio kuvamia vamia watu rudi shule kwanza.akili zako kisoda , nenda tiktok hlf mtukane biden kisha comment nyngne mtukane Shin Jinping uone ipi itafutwa na ipi itaachwa , Tiktok ni ant america app , acha waamerika wajiimarishie usalama wao , Nyie gaweni nchi zenu si mmekosa akili
Unafahamu soko kubwa la bidhaa za China ni nchi gani au wewe ndio walewale wa madrasa.chuki tu ya kiuchumi hawa marekani hawajawahi kusupport mafanikio ya yanayohusiana na china zaidi ya kuwaletea vikwazo kwa kila jambo.
Mwendawazimu mwingne tena huyu hapa haya marekani si ndio? Weka bando ujifunze tena kusoma soma kondoo weweUnafahamu soko kubwa la bidhaa za China ni nchi gani au wewe ndio walewale wa madrasa.