othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Kuna wengi sana afrika sio tu kukemea tu mashoga hadharani kuna viongozi wengine walitunga hadi sheria kali dhidi ya mashoga na wengine kuwaua mashoga lakini HAWAJAPEWA BAN na US.....Huyo KIFUTU amepigwa BAN kwa Mambo ma 5 tafuta mtu anayeelewa kiingereza akutafsirie ile barua ya POMPEO, tunaelewa KINGE ni JANGA la TAIFA.TUNACHOKIFAHAMU NA TULICHOKITEGEMEA NI KWAMBA. ILIKUWA NI LAZIMA KWA MAKONDA KUNYOOSHEWA KIDOLE NA HAO WAMEREKANY, SABABU NI NINI? SABABU NI Mh. MAKONDA KUJITOKEZA NA KUPINGA MASHOGA HADHARANI. NA KUHAMASISHA JAMII PIA NA KUIZINDUA JAMII ISIKUBALI USHOGA HAPO DAR.
HUO NDIO UKWELI. KISINGIZIO KINACHOTUMIKAGA NA HAO WATU KINAITWA "DIMOKRASYIA' LAKINI HILO NI VUNGA TUU. WAZEE HUKO MAMBELE WANATAKA WANAUME WA WAAFRIKA NAO WAANZE KUTANDIKANA. HILO HALIKUBALIKI.
HUYU KIONGOZI WETU NI BORA ASIENDE HUKO, LAKINI USHOGA AENDELEE KUUPINGA TUU.
KAZA UZI BWANA MAKONDA. SISI TUPO NA WEWE.
Ndio hawahawa pia wanaosaidia kusambaza condom kijijini kwenu na kusaidia ndugu zako wasipate ukimwi.Sikumbuki ni lini mtu mweupe akawa na jema kwa ngozi nyeusi.
Hivi si ndio hawa hawa walikuwa wanapiga babu zetu mijeledi na kuyaita makazi yao bara la giza??
Hivi ni lini wamepata upendo wa ghafla mpaka wakaamua kutupigania ili tupate demokrasia??
MIKE POMPEO BABA LAO NDIO ANA USHAHIDI WA KUTOSHA.Sawa maana na ushahidi wote unao wewe.
Kwahiyo ngoma ya jirani, unga usoni unapaka wewe!MIKE POMPEO BABA LAO NDIO ANA USHAHIDI WA KUTOSHA.
Tulia MZEE BABA ,KIFUTU kayataka Mwenyewe muache AIONE NGONDOIGWA.Kwahiyo ngoma ya jirani, unga usoni unapaka wewe!
Ni kweli Mwigulu naye anapaswa kuvuna alichopanda.
Huyu dogo ni jeuri anaweza akawajibu Wamarekani kwa jeuri.Nasubiri kuona makonda atajibu nini kwenye hii vita
Marekani hajawahi kufanya siasa kwa maslahi ya wengine, hasa wavaa viraka kama sisi. Huu mchezo ni siasa zao ndani na huku ndio stage la show tu. Natulia Mzee Baba. Kama ukiweza pita www.foxnews.comTulia MZEE BABA ,KIFUTU kayataka Mwenyewe muache AIONE NGONDOIGWA.
Siku hizi hupambanii tena chama kama zamani..Miradi ipi na mianya ipi?
Sifahamu kama USA wana mradi wowote hapa kwetu zaidi ya wao kuwekeza na au kutupa misaada.
Tufahamishe hiyo miradi na ukishindwa basi wewe ni muongo.
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Hoja zipo 5 mkuu kwa BASHITE,Nyie mmemkomalia USHOGA tu na kusahau Kuondoa haki ya kuishi kwa watu,Bashite anahusika na kifo cha Ben Saanane ,Bashite anahusika na Shambulio la Lissu ,Ushahidi US wanao wote.....Us akishakwambia ana ushahidi ni bora akae kimya maana watamuhadhirisha.Marekani hajawahi kufanya siasa kwa maslahi ya wengine, hasa wavaa viraka kama sisi. Huu mchezo ni siasa zao ndani na huku ndio stage la show tu. Natulia Mzee Baba. Kama ukiweza pita www.foxnews.com
Utaona kinachojili kuhusu haya.
Hapa hakiongelewi chama anaongelewa mwanachama.Siku hizi hupambanii tena chama kama zamani..
kweli vindu vichenjaga....
(mambo hubadilika)
Hapa hakiongelewi chama anaongelewa mwanachama.
ππ