Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

FAIZA HUJAMBO LAAZIZ .VIPI MA CCM YANA SEMAJE, YAME KUKOSEA NINI MBONA LEO UNA YAKANA?
Achana na Mimi. Hunijuwi sikujuwi. Jibu hoja zilizopo.

Na hiyo miandishi kutupigia kelele kwa kuweka miherufi mikubwa ndivyo mwalimu wako alivyokufundisha?

Tukiwaambia hizo shule mlienda kusomea ujinga hamtuelewi.
 
FAIZA MA CCM NI LAANA YA SHETANI
NIACHANE NA WEWE KWANI TUMEOWANA? AU MIMI NI BOYFRIEND WAKO MPAKA NIACHANE NA WEWE?
 
Jiwe akisikia hizi habari mavi yanagonga chupi, aiseee mabeberu wamejua kunifurahisha.

Hapa anayetuhumiwa na aliyepigwa ban ni Makonda hao wengine wanaingiaje kwenye sakata hilo? au hukumbuki kuwa kila penye tuhuma kila mmoja hubeba mzigo wake? kama makonda alitumiwa vibaya na yeye hakuweza kugundua hilo basi analo yeye kama yeye na halitawahusu wengineo unless proved wrong
 
Huyu mtu ametajwa katika mambo mengi ya kishetani.

Shetani siku zote wapo, si ajabu. Maajabu makubwa ni kwa kiongozi mkuu kumkumbatia shetani. Na maajabu ya kushangaza zaidi ni pale nilipomsikia kadinali akimsifia. Siku zote nimejitahidi kuwa mwaminifu kwa imani yangu Katoliki lakini kauli za kadinali kumsifia mtu ambaye mikono yake imejaa damu, iliisumbua sana nafsi yangu.

Tuliomba siku zote viongozi wa dini wakemee uovu utendwao na watawala lakini zilisikika sauti chache sana za maaskofu wa KKKT na Askofu Mwamakula wa Morovian. Wengine wote kimya.

Lakini nimeuona ukuu wa Mungu. Aliwafanya maaskofu kuwa mabubu lakini kilio na maombi ya wenye haki yalipokelewa mbele ya Bwana wetu. Bwana aliye asili ya ukuu na hekima, akatutafutia sauti yenye nguvu zaidi kuliko ya Maaskofu.

Je, watawala watakuwa kama Farao? Watafanywa mioyo yao kuwa migumu? Watamkatalia Musa kuwaondoa wana wa nchi kwenye utumwa wa kugandamizwa uhuru wao? Au watawala watasubiri mpaka malaika wa Bwana apite kuangamiza kila mzaliwa wao wa kwanza?

Ukuu na utukufu wa Mungu haudhihakiwi. Kila tunapoenda kwenye madhabahu ya Bwana, tukalia kwa unafiki, tukakariri vifungu vya biblia ili kuwahadaa watu tuonekane watu wa haki, tukatoka na kuendelea kudhulumu wanadamu wenzetu, tunavuna laana na hukumu.

Enyi watawala kama mtajaliwa japo chembe ndogo ya hekima ya ukubwa wa umbile la punje ya ufuta, mtamsogelea Bwana kwa moyo wa toba, mtairarua mioyo yenu iliyojaa ushetani, na kumlilia Mungu wa kweli awatenge na uovu. Lakini kwa kuwa mmekosa hekima, mtajikweza na kutaka kuonesha ukuu wenu. Hakika ndipo mtakapoujutia uovu wenu.

Neno la Mungu lasema, Mungu wetu si kiziwi, na maamuzi yake hayakawii, bali huja kwa wakati wake.

Wenye uwezo wa kuomba kuondokana na viongozi waonevu na wauaji, waombe. Wenye uwezo wa kukemea dhuluma ya watawala kwa watu wao, wakemee. Wenye uwezo wa kupinga dhuluma, wapinge kwa nguvu zote. Ili kila mmoja atumie karama yake kulinda na kupigania haki, haki ile tuliyopewa toka tulipoumbwa. Sote tuliumbwa na roho moja na idadi ya viungo vifananavyo ili kutuonesha kuwa hakuna aliye na ubinadamu zaidi ya mwingine.

Mungu wetu Mkuu, ushindaye wakuu wote wa Dunia hii, tunaomba utujalie ujasiri wa kuinena na kuiishi kweli yako. Maana wewe Bwana si mwoga na wala si tepetepe mbele ya ibilisi.
 
Kama tuhuma za mauaji zikithibitika ni za kweli tunategemea sheria zetu zinaeleza wazi muuaji anafanywa nini
Sheria zifuate mkondo.
Nawasilisha
 
FAIZA MA CCM NI LAANA YA SHETANI
NIACHANE NA WEWE KWANI TUMEOWANA? AU MIMI NI BOYFRIEND WAKO MPAKA NIACHANE NA WEWE?
Hiyo ni shule ya kusomea ujinga.

Hata Yesu mnasema kafa kwa kufanywa laana itakuwa CCM? Sikushangai.
 
Makonda aka Bashite hajawahi kufanya jambo bila kuacha alama...Haya ni machache tu ila yapo mengi sana aliyofanya ambayo yanakandamiza haki za binadamu na uhuru wa kuishi....Bashite anafanya hayo akikingiwa kifua na Baba Yake Meko na Mjomba wao Hi Now.

1.Bashite anahusika 100% kwa kuawawa kwa Ben Saanane.
2.Bashite anahusika 100% kwa shambulio la Lissu.
Ruge
 
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Hawamuwezi hata kidogo,nashangaa sana baadhi yetu kujipendekeza kwa mabeberu ipo siku watakula kisamvu
 
Makonda bado ni kijana mdogo ana familia inakua changa nadhani yeye mwenyewe ataangalia haya yanakuaje kwasababu inavyoonekana hawa wanaoitwa mabeberu wamemkalia vibaya..
Ni vizuri tukipata nafasi za uongozi tujue kuna kesho na tuna watoto wanakua..hili ni jambo zito sana.

Kitendo cha kutajwa kwa mke wake kimenitisha kumbe ukifanya mambo usisahau inawagharimu hata ndg zako wa karibu..Kwa nchi kama US kutajwa namna ile tena na Waziri wa mambo ya nje na Jasusi kama huyo Pompi ujue kweli kuna mahala sio sawa.

Ile barua inasema credible sources ina maana wamefuatilia na wana jambo pengine..
Hii pia ni doa kwake....hata kama alikuwa na ndogo za kuwa waziri au rais ndio basi tena.
 
Umejiuliza tarehe 7 September, 2017 Bashite alikuwa wapi wakati Ikulu ya Dar, Rais alikuwa anapokea ripoti ya makinikia na yeye akiwa mkuu wa mkoa wa Dar alitakiwa kuwepo!!!?
Huyu jamaa ameshiriki ushetani wa hali ya juu sana, na kwa umri wake hii BAN imemvurugia saaaana.
 
Makonda bado ni kijana mdogo ana familia inakua changa nadhani yeye mwenyewe ataangalia haya yanakuaje kwasababu inavyoonekana hawa wanaoitwa mabeberu wamemkalia vibaya..
Ni vizuri tukipata nafasi za uongozi tujue kuna kesho na tuna watoto wanakua..hili ni jambo zito sana.

Kitendo cha kutajwa kwa mke wake kimenitisha kumbe ukifanya mambo usisahau inawagharimu hata ndg zako wa karibu..Kwa nchi kama US kutajwa namna ile tena na Waziri wa mambo ya nje na Jasusi kama huyo Pompi ujue kweli kuna mahala sio sawa.

Ile barua inasema credible sources ina maana wamefuatilia na wana jambo pengine..
Hawakuweza kumtaja mwanawe kwa vile ni minor. Lakini na mwanawe yumo ikiwa ban itakuwa inarndelea atakapofika age ya maturity. Kikawaida ban ya US inafuatiwa na ya EU. Yetu macho!
 
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Wamuogope ana nini hivi wakimtaka anaweza chukua round? Alichukuliwa Noriega akiwa madarakani tena ni general ijekuwa jiwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni shule ya kusomea ujinga.

Hata Yesu mnasema kafa kwa kufanywa laana itakuwa CCM? Sikushangai.
SURA MBAYA KUFA HUTAKI... WEWE MWENYEWE HUNA ELIMU KAZI KUAMBIA KILA MTU HANA ELIMU. PUMBAVU KABISA, SHETANI MKUBWA WEWE. KWENDA.....TOKAAAAAA GO TO HELL
 
Back
Top Bottom