Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..

Ni wazi hujui chochote katika siasa za marekani na nchi tegemezi ambazo zinategemea marekani, unaweza ona hili ni jambo dogo kwako lakin kwa nchi ni jambo kubwa

Kwa akili zako unaweza ona sasa Tz yaweza tegemea nchi nyengine badala marekani lakin ufahamu kwamba ata hao nchi nyengine utakuta uchumi wao pia wanaitegemea marekani ambao pia inaweza ekewa vikwazo sababu wanaifadhili nchi fulani.

China ni taifa kubwa kuna wakati china walisema watatengeneza mfumo wao wa android lakin walijikuta na wakati mgumu sn kwa teonolojia bila marekani, ni kama vile wame-sarenda huu ni mfano tu.

Haya mambo si madogo lazima Tz waje chini kurekebisha mambo otherwise ni doa kubwa kwa mustakbali wa maendeleo lakin ata mimi na wewe
 
Yetu macho tumeandika sana hapa mzee mtoe makonda akawa anatupiga vijembe yeye apangiwi kazi 😀😀😀😀 wameyakologa wayanywe sasa
Na watanzania wengi tunaojitambua tuko upande wa USA maana hatuwezi kumuunga mkono chinja chinja
 
Huu ni muendelezo wa mpango huu

P

Unataka kuniambia US na EU ndio wanaozuia mikutano ya wapinzani why hawakuwa na mpango huu kwa Kikwete hakuna lolote bwana Meko kayakoroga mwenyewe atayanywa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Funny 😁,Makonda kaua Demokrasia pekee yake?How? Ndiyo gross human rights violation?

Kwa nini tu wasiseme shida ya Makonda ni ile kampeni yake dhidi ya akina Delicious!

Na Kwa nini wasimpeleke The Heague basi badala ya kuzunguka zunguka tu ili haki ikatendeke huko.
Shikilia hapo hapo. Tawi pekee lililopo ni ushoga
 
hawa mabeberu wapumbavu kweli kweli...

kwani marekani ni peponi ?
halafu Makonda amewambia anataka kuja huko ?
mbona mnakua kama watoto ?
Akili zako bwana!
 
Ziara za Lissu Ulaya na America zimeanza ku-hit, na tulijua lazima ziwe na impact.

Wazee wa praise power toka Lumumba wakawa wanabeza eti Lissu anazurula tu huko metropoles na hataambulia lolote la maaana. Yaani Simba umjeruhi halafu useme hatakuwa na impact tena kwako? LISSU SURVIVED TO TELL THE TALE. Mtaelewa tu.
 
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Ndo maana wakaitwa mabeberu,.sisi ni majike,tukileta purukushani tunapigwa mabao na kujazwa mimba then tunatulia. Ndo mfumo ulivyo ndo maana hata wewe unasifia kwa sababu ni mnufaika lakini kumbuka wengine wamepigika hivyo ni sawa na kusema wewe ni beberu kwao.,uache kuleta hoja za kisenge hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba kama kuna member mwenye Email address ya Bunge la Congress atuwekee hapa ili tuwapongeze Kwa hatua wanazofanya dhidi ya magaidi wa Tanzania...
Ingia hata kwenye tweeter ya waziri wao wa mambo ya nje aliempiga ban bashite jasusi mbobevu andika Mike pompei pongeza hapo hata kama auna anuani ya Congress wataziona pongezi huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom