Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Ni kiongozi gani umewahi kusikia amepigwa ban kwa kuzuia ushoga? Au unataka kutuambia makonda ndo wa kwanza kupinga ushoga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pigia mstari.Huyu atakuwa alihusika na shambulio la LISU huyu.Hii Ban kwake inamaana kubwa sana.
Halafu Wachungaji wanampa nafasi ya kuhubiri kanisani....inauma sana.Yes amefanya mengi sana ila hayo mawili alivuka mipaka kabisa yakaacha alama kubwa
3. Masogange kuwekewa sumu.
4.Roma kutekwa
Hapo lazima uitafute thamani ya B mpaka ilingane na M, Vinginevyo itakuwa ni assumption.Bashite=Meko
Najua ulisoma quadratic equations
Meko naye angeliwa kichwa ni vile tu huwa naye haendi Amerika ila wanamnyemelea na yeye,hapo walichofanya ni umchokoze mtoto wa faru kama unatakakuona sura ya mama yake
Hawajui kwamba teknolojia ilizaliwa Amerika ikakua Ulaya na Asia ikaja kuishi Afrika na itafia AmerikaEndeleeni kumtia ujinga. Wenye teknolojia zao wameshakusanya ushahidi.
Wamevumilia sana wakidhani ni ugeni wake na uongozi ila wameona kumbe ni tatizo kweli na wameanza kulishughulikia
Memsahau na kale ka StrokeUMEM SAHAU YULE MPUMBAVU MKUBWA ANAYE JIITA "MAGONJWA MTA UMBUKA" AISEE THIS GUY IS A LOSER SIJA PATA KUONA. VERY STUPID GUY
The Hague panamsubiri kunamabo yanawekwa tu sawaFunny 😁,Makonda kaua Demokrasia pekee yake?How? Ndiyo gross human rights violation?
Kwa nini tu wasiseme shida ya Makonda ni ile kampeni yake dhidi ya akina Delicious!
Na Kwa nini wasimpeleke The Heague basi badala ya kuzunguka zunguka tu ili haki ikatendeke huko.
akajitose kwenye corona siyo kabla hajaliwa kichwa na..............Ana safari ya kwenda Wuhan huko Uchina mwezi huu.
msije mkakafanyizia na ka betina wa watu wala hata hahusikiKwa hiyo kuvamia Clouds ndo gross violation of human rights? Aliua wangapi kwenye hilo tukio?
Kwa hiyo kama mtekaji hajulikani matukio yote ya utekaji tunamuangushia jumba Makonda kisa hai-make sense kukosekana mtekaji?
Hao waliokuwa wakivamia vituo vya polisi mbona USA ilikuwa haiwapigi travel ban wakikamatwa pamoja na kwamba walikuwa wanaua?
Hakuna box hapa mazee ni siasa za kijinga tu zinafanywa na haka kabetina kanakokaimu ubalozi wa USA Tz.
Very true.Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
bado mapigo sita kwa mfalme.....
.....pigo la KWANZA Mkuu
Kweli kabisa nashangaa wanao kimbilia huko kijilamalamba.Marekani hajawahi kufanya siasa kwa maslahi ya wengine, hasa wavaa viraka kama sisi. Huu mchezo ni siasa zao ndani na huku ndio stage la show tu. Natulia Mzee Baba. Kama ukiweza pita www.foxnews.com
Utaona kinachojili kuhusu haya.
Mabeberu mnawajua vizuri jamani ? Mugabe hakua mjinga kufanya maamuzi aliofanya.Tujifunze kutoka makosa ya wenzetu,Zimbabwe ilikuwa nchi ambao uchumi wake ulikuwa namba mbili baada ya South Africa. Leo hii pamoja na kwamba Zimbabwe ni nchi namba moja katika kiwango cha elimu kwa watu wake. Lakini ki uchumi Zimbabwe iko dhufu bin hali. Inachukuwa miaka 60 kujenga uchumi lakini mwaka moja uchumi unaweza kuporomoka.
wacha sasa majike yaliwe,saa imefika beberu kasimamishasafi sana mabeberu
Muongo na mwongo lipi sahihi ? Msaada tafadhaliMiradi ipi na mianya ipi?
Sifahamu kama USA wana mradi wowote hapa kwetu zaidi ya wao kuwekeza na au kutupa misaada.
Tufahamishe hiyo miradi na ukishindwa basi wewe ni muongo.
Hakuna wa kumla kichwa kwenye nchi hiiakajitose kwenye corona siyo kabla hajaliwa kichwa na..............
Na China