Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

Ni kiongozi gani umewahi kusikia amepigwa ban kwa kuzuia ushoga? Au unataka kutuambia makonda ndo wa kwanza kupinga ushoga?

Sent using Jamii Forums mobile app

nani mwingine tanzania amewahi kuwapinga hao watu kwa hatua kama makonda ? ukinitajia jina tunamaliza mjadala,
bashite mi simkubali ila kwenye hili anachukuliwa hatua sababu hiyo,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Endeleeni kumtia ujinga. Wenye teknolojia zao wameshakusanya ushahidi.

Wamevumilia sana wakidhani ni ugeni wake na uongozi ila wameona kumbe ni tatizo kweli na wameanza kulishughulikia
Hawajui kwamba teknolojia ilizaliwa Amerika ikakua Ulaya na Asia ikaja kuishi Afrika na itafia Amerika
 
Funny 😁,Makonda kaua Demokrasia pekee yake?How? Ndiyo gross human rights violation?

Kwa nini tu wasiseme shida ya Makonda ni ile kampeni yake dhidi ya akina Delicious!

Na Kwa nini wasimpeleke The Heague basi badala ya kuzunguka zunguka tu ili haki ikatendeke huko.
The Hague panamsubiri kunamabo yanawekwa tu sawa
 
Kwa hiyo kuvamia Clouds ndo gross violation of human rights? Aliua wangapi kwenye hilo tukio?

Kwa hiyo kama mtekaji hajulikani matukio yote ya utekaji tunamuangushia jumba Makonda kisa hai-make sense kukosekana mtekaji?

Hao waliokuwa wakivamia vituo vya polisi mbona USA ilikuwa haiwapigi travel ban wakikamatwa pamoja na kwamba walikuwa wanaua?

Hakuna box hapa mazee ni siasa za kijinga tu zinafanywa na haka kabetina kanakokaimu ubalozi wa USA Tz.
msije mkakafanyizia na ka betina wa watu wala hata hahusiki
 
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Very true.
 
Marekani hajawahi kufanya siasa kwa maslahi ya wengine, hasa wavaa viraka kama sisi. Huu mchezo ni siasa zao ndani na huku ndio stage la show tu. Natulia Mzee Baba. Kama ukiweza pita www.foxnews.com
Utaona kinachojili kuhusu haya.
Kweli kabisa nashangaa wanao kimbilia huko kijilamalamba.
 
Tujifunze kutoka makosa ya wenzetu,Zimbabwe ilikuwa nchi ambao uchumi wake ulikuwa namba mbili baada ya South Africa. Leo hii pamoja na kwamba Zimbabwe ni nchi namba moja katika kiwango cha elimu kwa watu wake. Lakini ki uchumi Zimbabwe iko dhufu bin hali. Inachukuwa miaka 60 kujenga uchumi lakini mwaka moja uchumi unaweza kuporomoka.
Mabeberu mnawajua vizuri jamani ? Mugabe hakua mjinga kufanya maamuzi aliofanya.
 
Serikali imepewa muda wa kurekebisha mambo kupitia Makonda ...... sasa wasipoitumia hii nafasi wakajifanya Vichwa ngume kama Zimbabwe, matokeo yake tunayajua. Huo ni mwazo tu.

Kumchagua Makonda katika kundi kubwa kama lile haikuwa kwa bahati mbaya ..................!!
 
Back
Top Bottom