G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
- Thread starter
- #41
Kama hujui kitu omba ueleweshwe ili akili ikae ki Jf Jf. Acha mawazo ya fesibuku!Na wenyewe wamechoka, wanampiga ban Makonda kwenda Marekani ataenda kufanya nini huko kwao. Ni sawa na mimi kunipiga ban kuwa rubani wa ndege wakati hata abc kuhusu hizo ndege sizijui
Sent using Jamii Forums mobile app