Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

Kwa ufupi ni kwamba wazungu wana taarifa zote za Makonda kuhusika kwenye mambo ya kihuni ya kupiga watu risasi na wengine kupotezwa.Watu wengi wasichojua ni kwamba US ina watumishi wa siri yaani CIA waliosambazwa duniani kote takribani mln kumi hvyo hakuna tukio wasilolijua.
 
KWA KWELI WE WE NI MPUMBAVU MKUBWA PLUS MPUUZI. TANZANIA INA WAJINGA NA WASHAMBA WENGI
samurai anajulikana humu. Siyo wa upande ule, hapa anajaribu kureflect mawazo ya buku 7 kwenye sakata hili kwa sababu buku 7 akina wakudadavua, kipara kipya, elitwege, jingalao, msemajiukweli na wengineo wamegoma kutia pua kwenye huu uzi.
 
samurai anajulikana humu. Siyo wa uoande ule, hapa anajaribu kureflect mawazo ya buku 7 kwenye sakata hili kwa sababu buku 7 akina wakudadavua, kipara kipya, elitwege, jingalao, msemajiukweli na wengineo wamegoma kutia pua kwenye huu uzi.
UMEM SAHAU YULE MPUMBAVU MKUBWA ANAYE JIITA "MAGONJWA MTA UMBUKA" AISEE THIS GUY IS A LOSER SIJA PATA KUONA. VERY STUPID GUY
 
Marekani wanayo intelligence kamili.Hawakurupuki. Bashite anahusika bila shaka.
 
Huu ni muendelezo wa mpango huu

P
 
UMEM SAHAU YULE MPUMBAVU MKUBWA ANAYE JIITA "MAGONJWA MTA UMBUKA" AISEE THIS GUY IS A LOSER SIJA PATA KUONA. VERY STUPID GUY
Daaah umenikumbusha kitu aisee! Huyo ameshindikana, hana mfano hapa Tanzania.
 
Lazima tumpambanie jamaa aende marekani tena achukue hiyo barua yao aichane mbele ya tv ili mambo yasonge mbele


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Katumiwa sana sasa atatupwa kama hawamjui. usimuamini mwana siasa ukitumika ukawa huna jipya basi ujuwe umeisha. wanasiasa hawana tufe pamoja ukiwa unahatarisha maslahi ya mtu unapigwa chini na mahakamani unaenda. Hii ni hatari kuliko tunavyodhania..
Muulize Kangi Lugola
 
Sisi ndo tuna raw materials, tuwapige ban US kule Geita kuchimba madini, jino kwa jino, SASA KAMA MKUU WA MKOA KAZUILIWA KUINGIA US ,ITAKUWAJE RAISI ALIYEZUIA MIKUTANO HALALI YA KIDEMOCRACIA?

Vipi mkuu na raw materials zote ila tunawapigia magoti watupe mtonyo wanetu wapate kwenda shule??

Hii imekaaje🧐🧐🧐
 

Mkuu P ,

Kwa kuzingatia alama za nyakati unahisi huu ni mwanzo tu na mengine yanakuja?

Tufanye nini kama Taifa ili tusiende pabaya zaidi?
 
samurai anajulikana humu. Siyo wa upande ule, hapa anajaribu kureflect mawazo ya buku 7 kwenye sakata hili kwa sababu buku 7 akina wakudadavua, kipara kipya, elitwege, jingalao, msemajiukweli na wengineo wamegoma kutia pua kwenye huu uzi.

hahaha hahaha Mkuu namimi siku hizi niko kwa mkopo Buku 7 FC, kumekucha corridor za Lumumba ziko busy balaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…