Bunge la Tanzania kuondoa CV za wabunge kuogopa Gen Z wa Kenya ni utoto

Bunge la Tanzania kuondoa CV za wabunge kuogopa Gen Z wa Kenya ni utoto

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Bunge la Tanzania limeziondoa section inayo onyesha CV za wabunge kwatika tovuti yao baada ya Gen Z wa kenya kuanza kutumia CV za wabunge wa Tz kwenye comedy zao.

20250529_221512.jpg
 
Kama kawaida yao huwa wanatatua tatizo dogo kwa kuongeza tatizo kubwa,,,sasa hii itatumika kama ushahidi kwamba Tanzania ni nchi isiyo na demokrasia na uwazi kwa wananchi wake,,,na hivyo kuomba kusitishwa mikopo yote kwa taifa kwasababu haiwanufaishi wananchi.
 
Back
Top Bottom