Bunge la Tanzania kuondoa CV za wabunge kuogopa Gen Z wa Kenya ni utoto

Bunge la Tanzania kuondoa CV za wabunge kuogopa Gen Z wa Kenya ni utoto

The late Magufuri angeruhusu Ukaguzi wa Vyeti fake bungeni ingekuwa kituko!
 
Bado zipo; mimi naziona!
Hazipo bwana! Ina maana Tulia ndiye katoa ushauri wa kijinga hivi? Kama tuna bunge ka mambumbumbu si waache tu? Hapa wanawapa Wakenya umaarufu wa bure! Nitamwambiaje mchepuko wangu Precious aisee? Wanataka kunifanya na mimi nianze kutukanwa tu!
 
Ila wakenya tukubal wametuzd tu yaan muda wote cv zimekaa tu kwenye website na hatujahi kuzipitia
Kuona maajabu ya kenge
Hata kwao wabunge vilaza wapo bwana ni woga wa Tulia tu. Kulikuwa na yule mwamba sijui anaitwa Mike Mbuy'i Sonko elimu yake naye ilikuwa ya kuungaunga tu!
 
Wajinga, wanaondoa wakati wenzao walisha download kila kitu wanacho
 
Kuondoa CV na bado tuna darasa la 7 bungeni tunayetaka achangie Mada ya Uchumi wa Tanganyika 2050 BADO NI COMEDY...
 
Kuwapiga wakenya kubaka yule dada wa Uganda kulikofanywa na Polisiccm kumesaidia vingi sana kwani watanzania wametambua kuwa Nchi ipo uchi haina nguo, wakenya wamedukua hadi Serikali ni Aibu kubwa, hivyo kila jambo hufanywa na mungu kwa makusudi yake, sasa angalia Tanzania ilivyopata Aibu kubwa
Hii pia ni ushaidi tosha kwamba ikitokea tukaingia vitani na Kenya tutapoteza vita kwa sbb vita vya sasa hivi vinapiganwa kisayansi si kimaguvu km serikali yetu ya Ccm inavyoamini.
 
Mwanzoni watanzania hawakujua kuwa kuna vilaza wengi hivyo lakini wakenya wamewakomesha kwa kuingia hadi kwenye Account zao na kuchukua pesa huko pia
Tunawashukuru sana gen z, waendelee kutujuza yaliyokuwa ya sirini
 
Back
Top Bottom