Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
Kuna watu wenye uwezo ndogo sana wako bungeni na wanashiriki kufanya maamuzi makubwa. Hii ni hatari kubwa sana.
Gen Z wameunguza kichaka.
Gen Z wameunguza kichaka.
Bado zipo; mimi naziona!Bunge la Tanzania limeziondoa section inayo onyesha CV za wabunge kwatika tovuti yao baada ya Gen Z wa kenya kuanza kutumia CV za wabunge wa Tz kwenye comedy zao.
View attachment 3349969
Sheria zinatungwa na wataalamu😂😂😂 ila vichekesho mbunge darasa la 7 nae anatunga sheria ambayo inakuja kutumika na waliosoma sheria familiar
Hahaha, niliona sehemu nikamshukuru Mungu from standard one mpaka university straight..kuna watu elimu, imewatesa sanaa, nikifikiria sana miaka 14 o level tu.??Kuna mwingine karudia kidato cha nne tangu 2000 Kaja kufaulu 2014
Nilihuzunika sana, vile elimu imemtesa mno hapa maishaniKuna yule KENGE Alisoma sekondari kuanzia 1998-1999, 2000-2013 akawa sekondari tena, 2013-2014 bado akawa sekondari!
Et wanajadili kwamba wamtume dotto magari awatukane wakenya😂Aibu kwa nchi kuwa na vilaza bungeni.
Wamezoea kutuonea, wamepata upupu waoBunge la Tanzania limeziondoa section inayo onyesha CV za wabunge kwatika tovuti yao baada ya Gen Z wa kenya kuanza kutumia CV za wabunge wa Tz kwenye comedy zao.
View attachment 3349969
Yaani kuna madogo walizaliwa yupo form 1, wakasoma hadi wakampita wanamaliza form 6 yeye ndipo anamaliza form 4, tena kwa kufeli!!!Nilihuzunika sana, vile elimu imemtesa mno hapa maishani
Hii kali sasa nani aliwakataza wasisome, uvivu wao tuBunge la Tanzania limeziondoa section inayo onyesha CV za wabunge kwatika tovuti yao baada ya Gen Z wa kenya kuanza kutumia CV za wabunge wa Tz kwenye comedy zao.
View attachment 3349969
Mpaka Leo hajahitimuKuna yule KENGE alisoma sekondari kuanzia 1998-1999, 2000-2013 akawa sekondari tena, 2013-2014 bado akawa sekondari!