Kasongo yeeyee
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 1,201
- 2,705
Atazeeka na kufia sekondariMpaka Leo hajahitimu
Atazeeka na kufia sekondariMpaka Leo hajahitimu
Ohooo atazeeka na kufia sekondari sasaMpaka Leo hajahitimu
😀😀Malizia wa kenya
Hao wote tuliwaacha la 7 C!Napenda kuona CV ya Msukuma na Kibajaji
Ila wakenya tukubal wametuzd tu yaan muda wote cv zimekaa tu kwenye website na hatujahi kuzipitia
Kuona maajabu ya kenge
Agizo number ngapi hili? Brother atatakiwa kulitekeleza?Bunge la Tanzania limeziondoa section inayo onyesha CV za wabunge kwatika tovuti yao baada ya Gen Z wa kenya kuanza kutumia CV za wabunge wa Tz kwenye comedy zao.
View attachment 3349969
Kenge maji kabisaKuna yule KENGE alisoma sekondari kuanzia 1998-1999, 2000-2013 akawa sekondari tena, 2013-2014 bado akawa sekondari!
Baada ya kuliaibisha taifa sasa wameona bora wakunje mikeka yao..Bunge la Tanzania limeziondoa section inayo onyesha CV za wabunge kwatika tovuti yao baada ya Gen Z wa kenya kuanza kutumia CV za wabunge wa Tz kwenye comedy zao.
View attachment 3349969
Na baada ya hiyo Sekondari akajiunga na Turaining Institute huko Garissa Kenya na kupata aduvance dipuloma iliyomuwezesha kuwa Kenge mkubwa kuliko hata Kenge waliomzaa.Kuna yule KENGE alisoma sekondari kuanzia 1998-1999, 2000-2013 akawa sekondari tena, 2013-2014 bado akawa sekondari!
😁Ohhooo kumbe CV imesheheni!Na baada ya hiyo Sekondari akajiunga na Turaining Institute huko Garissa Kenya na kupata aduvance dipuloma iliyomuwezesha kuwa Kenge mkubwa kuliko hata Kenge waliomzaa.
Kama walivyoiondoa CV ya Janabi baada ya Madaktari na akina Zanzibar-ASP kuhoji yale aliyodanganya kusomeaHakuna kitu hapo, tusiliamini bunge hata kidogo. Wanaweza kubadili lolote katika hansard za bunge to catter for their ill motives!