Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

 
Muhammad is 666
Lets try it for muhammad :

M 13 * 9 = 117
U 21 * 9 = 189
H 8 * 9 = 72
A 1 * 9 = 9
M 13 * 9 = 117
M 13 * 9 = 117
A 1 * 9 = 9
D 4 * 9 = 36

---------- TOTAL = 666
 

Mkuu za siku mbili tatu?sasa nina mambo fulani hapa naomba unisaidie.La kwanza ni kuhusu Jesuits.Hili shirika linasakamwa sana na wachambuzi wengi duniani wanalihusisha na mipango mibaya ya kubadili kanisa katoliki na dini zote kuelekea kwenye imani ya babeli.Kwamba Jesuits ni satanic infiltration ndani ya kanisa na hata baadhi ya mapapa wamekuwa katika mivutano na hawa Jesuits baada ya kuwagundua si wazuri.Kuna stori kwamba hata yule papa aliyekufa ghafla baada ya kuongoza kwa muda mfupi sana aliuawa na hawa jamaa baada ya kuonyesha dhamira ya kushughulikia kashfa za masuala ya fedha ndani ya Vatican,kashfa ambazo zilikuwa zikiwagusa Jesuits moja kwa moja.Inasemekana hata mzee Ratzinger alijiuzulu kutokana na shinikizo la hawa jamaa,na aliamua kujiuzulu baada ya kugundua they are so powerful at the moment within the holy see.Inasemekana pia Adam Weishaupt aliyeanzisha Illuminati baada ya kuasi kanisa alikuwa ni Jesuit na ule uasi wake ilikuwa plan B ya Jesuits baada ya kuona kuna mambo hawawezi kuyaendesha huku wakioperate kutokea ndani ya kanisa.Kabla ya kuasi,Weishaupt alikuwa Professor wa Canon law katika chuo cha Ingolstadt huko Bavaria(Ujerumani).Inasemekana pia hawa Jesuits wako aina mbili,kuna wanaojulikana wakiwa kama mapadre wa kanisa na kuna wasiojulikana ambao kazi yao ni infiltration kwenye maeneo wanayotaka kuyacontrol kama governments,banks,other religious institutions(not catholic) etc.Kwa mfano kuna shirika moja ambalo linashutumiwa kuhusika kuvichochea na kuviuzia silaha vikundi vyenye itikadi kali kwenye maeneo yenye vita ya middle east.Linaitwa Blackwater,inasemekana hawa Blackwater ni mkono wa Jesuits,na sio moja kwa moja,bali kupitia knights of Malta.Inasemekana jamaa wako kila mahali nyeti,hata kwa ndugu yangu Ntuzu inasemekana ile executive comittee ya General Conference,chombo kikuu kinachoendesha kanisa la wasabato duniani imeshakuwa infiltrated na invisible Jesuits na ndio maana kuna migogoro ya kimafundisho sana ndani ya dini zetu zote hivi sasa,hata Ntuzu na wasabato wenzie inclusive na hata vitabu vya yule mama inasemekana vinachakachuliwa hivi sasa kupitia new translation,hasa kitabu cha The great controversy ambacho hakipendwi mno kule Vatican kutokana na kuexpose historia iliyojaa damu ya Roman empire na Catholic Church enzi zile,mafundisho ya zamani yaliyodumu miaka mingi yakiachwa na kuleta mafundisho mapya ambayo hayana support ya vitabu vitakatifu kama Biblia,Qur'an etc.Kuna siku watu watajikuta dini zao hazitofautiani sana huko mbele.Una maoni gani kuhusu hawa jamaa?Wanazungumzwa sana kiasi mtu yeyote makini hawezi kupuuzia.
Pili,naomba kafanye research juu ya hii habari ya utawala wa Rumi kumtengeneza mtume Muhammad.Kwamba Muhammad alitengenezwa na Augustinian monks ili alete dini itakayodhibiti ueneaji wa kasi wa ukristu katika himaya ya Roma hasa middle east,pamoja na kuwaunganisha waarabu chini ya ustaarabu mpya ambao hautakuwa hostile kwa himaya ya Rumi kama ilivyokuwa kwa ukristu,lakini baada ya kifo cha Muhammad,makalifa walioongoza dini hiyo wakaasi mfumo na kuigeuza hostile kwa warumi,especially baada ya kuutwaa Yerusalem,wakagoma kuukabidhi mji huo kwa Rome,wakagoma kuwafisha wayahudi na badala yake wakawaruhusu kurudi Palestine na Judea,wakaishi nao kwa amani na kuwaruhusu kujenga masinagogi yao na kusali humo ilimradi hawaingilii masuala ya utawala wa kiislam ya eneo hilo.
Majeshi ya waislam yakasonga mbele hadi Africa kaskazini na kwingineko,hata khazars wa asia minor wakaanguka mikononi mwa majeshi ya kiislam.Rumi ikachukizwa na hili.Baada ya kuona uislam walioutengeneza wenyewe umekuwa tishio kubwa na unapiga hodi hadi ulaya,Papa akatumika kutengeneza jeshi kubwa kwa jina la dini,watu wakaambiwa hii ni vita ya kidini,kuukomboa mji mtakatifu,ikaanza crusade,wakapigana wee mpaka wakachoka.Yerusalem ikawekwa mikononi mwa crusaders,chini ya uangalizi wa knights maalum.Do a research on Alberto Rivera.Halafu pia tafuta kitabu cha Robert Spencer chenye title,"Did Muhammad exist?"Mojawapo ya very challenging arguments za huyu jamaa humo ni kuhusu tofauti ya muda wa miaka mingi kati ya mwanzo wa uislam na muda ambao profile ya Muhammad ilianza kuenezwa na kujulikana sana kama mtume wa waislam.Tena wakati jina la Muhammad lilipoanza kuwa maarufu kama mtume wa muslims ilicoincide na wakati ambao waarabu walihitaji sana kuungana ili kupambana na Byzantine empire ya kikristo na Persia iliyokuwa na dini ya Zoroastrian.Pia amegusia suala la kitabu cha Qur'an kutokujulikana na watu wa zamani.Neither arabs,nor jews and Christians mentioned it's existence until early eighth century.Pia pitia mahusiano ya some islamic doctrines with ancient traditional religion practices za eneo hilo kabla ya uislam,even the name Allah.Kuna blog moja inaitwa mysterybabylonwatch inazungumzia jinsi modern religion zilivyojaa mambo ya kipagani,uislam na ukristo inclusive.
La mwisho mkuu,kuna hili la Constantine.Kwamba the guy conspired when he joined Christianity.The actual plan was to establish a new kind of Christian religion which is neutral to Roman empire and it's pagan culture.Pitia what happened at the church councils,especially the ones at Laodicea and Nicea.Katika kupitia huko,kuwa mchunguzi na kitu kinaitwa canonicalization of the holy scripts.Pitia google,soma kuhusu Christian persecution under the popes and emperors.Pia do a research on Qumran excavation.Google na issues za Bilderberg,connection yake na Jesuits na knights of Malta(ambao wengi hujua haipo active siku hizi).
Baada ya kupitiapitia humo,ntaomba maoni yako in six months time,uje uifufue hii mada,unitag.Nikusome maoni yako mkuu.
Haya,mie nimemaliza,sasa ni zamu ya matusi.
 
Muhammad is 666
Lets try it for muhammad :

M 13 * 9 = 117
U 21 * 9 = 189
H 8 * 9 = 72
A 1 * 9 = 9
M 13 * 9 = 117
M 13 * 9 = 117
A 1 * 9 = 9
D 4 * 9 = 36

---------- TOTAL = 666

 
Hii michakachuo ya MAKAFIRI tumeshaizoea.Beat this one miss paster.
Hiyo picha kivuli cha mtu aliyesimama upande wa kushoto kinatokana na mwanga ulipotokea. tazama hata vazi linaendana. hii haiondoi ukweli kuwa muhammad ni Anti-christ. Jitazameni nyinyi mko upande wa Yesu ama mnampinga Yesu..?Nyinyi mnachukia wanaomfuata Yesu kwa kufuata dini yenu na waarabu wa kureshi.
 

Ewe punguani hujuwi hesabu?

1) A*1, juu huko umesema a = 1*9 = 9 sasa chini hapo umeweka a = 5*9 = 9 ??????

Kwa kukujuza tu, 5*9 = 45 na e=5 siyo a.

2) 117 + 189 + 72 + 9 + 117 +117 + 45 + 36 = 702

Hiyo a yako mara inakuwa 1 mara inakuwa 5?

Umechemsha!

Jee, unataka tukuoneshe "The Beast" ni nani?
 
Muhammad is 666
 
Mkuu wa chuo ,sijui akina Ntuzu na Lawkeys watasemaje kuhusiana na hii .....!!

Mimi nitasema kwamba kazi ya Jesuits (Misukule ya Vatican) ni kuhakikisha kwamba wanapindisha ukweli au kuibua hisia ya mashaka ndani ya mioyo ya watu dhidi ya Mungu na kweli yake.

Nimewaita majesuits misukule kwasababu katika barua ya Papa Benedict kwa Hans Clovarbech (Black Pope na Jenerali wa Jesuits mstaafu) alisema kwamba wanatakiwa kumtii Papa kama maiti, kwa ushahidi soma hapa:

"To serve as a soldier of God beneath the banner of the Cross and to serve the Lord alone and the Church, his spouse, under the Roman Pontiff, the Vicar of Christ on earth" (Apostolic Letter Exposcit Debitum, 21 July 1550). This is a "particular" fidelity, sanctioned for many of you by a vow of immediate obedience to the Successor of Peter "perinde ac cadaver".

Source: Letter to Fr Peter-Hans Kolvenbach on the occasion of the 35th General Congregation of the Society of Jesus

Majesuits kama nilivyosema awali kazi yao kubwa ni kupindisha ukweli hata ikibidi kwa kumwaga damu. Lengo la tafsiri uchwa juu ya unabii kuhusu Mpinga Kristo (Upapa) zina lenga kuchanganya watu wasimtambue Papa kuwa yeye ndie. Mfano mwingine wa hoja za namna hii unabii wa Daniel na Ufunuo kuhusu mpinga Kristo Jesuits wameupindua kwa kutafsiri kwamba Mpinga Kristo alikwishatokea zamani (Prerestic) au atatokea siku za mwisho (futureristic). Lengo ni kuhakikisha kwamba Papa (Mungu wao) hahusishwi na tafsiri ya Mpinga Kristo.

Moja ya watu wanaofanya kazi kama Jesuits ni pamoja na Eiyer, Mkuu wa chuo na RGforever ambao kupitia uzi maalumu wanaendeleza kazi hiyohiyo.

Mbali na kudanganya, pia wanahusika kuchakachua Biblia (https://www.google.co.tz/webhp?sour...1&espv=2&ie=UTF-8#q=changing the word, walter). Wanahusika kuanzisha Evengelical Churches (Walter Veith - (25) Strange Fire / Total Onslaught - YouTube) na wanashirikiana na vikundi vya siri kama Freemasson kuuandaa ulimwengu kwaajili ya kumrejeshea Papa mamlaka yake aliyokuwa nayo wakati wa kipindi cha giza (253 - The Secret Behind Secret Societies / Total Onslaught Mini Series - Walter Veith - YouTube). Si hivyo wanapambana usiku na mchana kudhibiti kazi na matokeo ya Uprotestanti kwa lengo la kuurudisha ulimwengu wa Ukristo chini ya gereza la Upapa (Walter Veith - The Jesuits and the Counter Reformation #1 - YouTube)

Kiapo chao, ambacho sidhani kama Eiyer naye kala ni hiki hapa:

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]
I furthermore promise and declare that I will, when opportunity present, make and wage relentless war, secretly or openly, against all heretics, Protestants and Liberals, as I am directed to do, to extirpate and exterminate them from the face of the whole earth; and that I will spare neither age, sex or condition; and that I will hang, waste, boil, flay, strangle and bury alive these infamous heretics, rip up the stomachs and wombs of their women and crush their infants' heads against the walls, in order to annihilate forever their execrable race. That when the same cannot be done openly, I will secretly use the poisoned cup, the strangulating cord, the steel of the poniard or the leaden bullet, regardless of the honor, rank, dignity, or authority of the person or persons, whatever may be their condition in life, either public or private, as I at any time may be directed so to do by any agent of the Pope or Superior of the Brotherhood of the Holy Faith, of the Society of Jesus.

Source:
http://www.reformation.org/jesuit-oath.html

Kwahiyo wakianza kuleta tafsiri ya 666 kama walivyofanya, tunao wajua tunawacheka tu kwani tunawafahamu kwamba hiyo ni kazi ya CLEVER DEVILS.

[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]
[/FONT]
 
Last edited by a moderator:

New World order Plan hiyo kumuandali mapito Papa (Mpinga Kristo).

Walter Veith - (21) A New World Order / Total Onslaught - YouTube
 

Maswali ya watu waliokosa hoja hayo. Hakika fabrications za hoja tata juu ya kanisa Katoliki hazijaanza leo.

Mwenye kushangaa kumbukumbu ya Petro na anijibu kwa nini akifa Abdallah, mwili wake wkt umebebwa kupelekwa mazishini anaombewa Mohammad? Kwani kafa Mohammad?
 


Naona askari wa Jibril anataka kupindisha mada.

Mtumishi Eiyer , niweka ushahidi hapo juu kuwa Muhammad = 666 na mwingine Allah = 666, jamaa sasa wameingia mitini.

CC: Mkuu wa chuo Lisa Valentine 2013


Mi nashangaa mnahangaika kutafuta vi sifa ili kuutoa Uroma ktk upinga Kristo.

Daniel 7:25

He shall speak pompous words against the Most High,
Shall persecute the saints of the Most High,
And shall intend to change times and LAW
The saints shall be given into his hand for a time and times and half time.


Sasa waislamu ni sheria gani ys Mungu waliyobadilisha? Au Uroma ndio ulibadisha sheria ya Mungu hasa ile ya 4 na kuandika SHIKA KITAKATIFU SIKU YA......

Waislam kwa sifa ya kumkataa Yesu kua ni Mungu wao wanaungana na mpinga Kristo mkuu Roma kua kitu kimoja.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa chuo ,sijui akina Ntuzu na Lawkeys watasemaje kuhusiana na hii .....!!


Uroma na uislam ni kitu kimoja ktk kumpiga Kristo
 
Last edited by a moderator:
Wewe huwa napenda uwepo kwenye mijadala kwa sababu moja yaani we ni mchekeshaji wa kijiwe, yaani kwa maana nyingine ni mshehereshaji tu...

Maana nikianza kuweka aya za quran nadhani hali inaweza ikabadilika... na nikikuuliza maswali nadhani unaweza ukachukia, busara yangu inaniambia nikuache uendelee kutubirudisha tu...

Wenzako wasabato wanadai nyie ni miongoni mwa Watakatifu mliouliwa na Papa ushahidi ni kutoka kwa msabato Lawkeys aliyotuwekea orodha ya watakatifu waliouliwa na Papa kwenye uzi ule mwingine...

ngojea niishie hapo...

nyie watu ni noma, nimesoma hapo yaani kila issue Papa anasingiziwa hadi kuchakachua maandishi ya Ellen G. White Jesuits wanaambiwa wao wanafanya hivyo wamejipenyeza hadi huko kwenu hadi kwa Wasabato hao jamaa ni noma, hawana tofauti na mfumo kristo, sasa imekuwa kama utamaduni kila kitu sehemu kikienda ndivyo sivyo wa RC wanasingiziwa wamekuwa kama punching bag...

Lakini katika ibada zao sijawahi kuona waki deal na imani za wengine, wala wakitoa shutuma...

CC: RGforever
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…