Lawkeys nimekusoma pia inaonekana una Intelijensia kali kuhusiana na RC, lakini sina uhakika kama nilichokiandika kwenye sentensi iliyopita kwenye hii post kina ukweli au ni sahihi...
Hakuna hata sehemu moja kwenye links zako zinazo saidia hukumu yako kwa Pope na maneno yako machafu.Letter to Fr Peter-Hans Kolvenbach on the occasion of the 35th General Congregation of the Society of Jesus
Jesuit Extreme Oath of Induction
Unaonekana unania ya kumjua Mpinga Kristo na harakati zake.
Mimi nitasema kwamba kazi ya Jesuits (Misukule ya Vatican) ni kuhakikisha kwamba wanapindisha ukweli au kuibua hisia ya mashaka ndani ya mioyo ya watu dhidi ya Mungu na kweli yake.
Nimewaita majesuits misukule kwasababu katika barua ya Papa Benedict kwa Hans Clovarbech (Black Pope na Jenerali wa Jesuits mstaafu) alisema kwamba wanatakiwa kumtii Papa kama maiti, kwa ushahidi soma hapa:
"To serve as a soldier of God beneath the banner of the Cross and to serve the Lord alone and the Church, his spouse, under the Roman Pontiff, the Vicar of Christ on earth" (Apostolic Letter Exposcit Debitum, 21 July 1550). This is a "particular" fidelity, sanctioned for many of you by a vow of immediate obedience to the Successor of Peter "perinde ac cadaver".
Source: Letter to Fr Peter-Hans Kolvenbach on the occasion of the 35th General Congregation of the Society of Jesus
Majesuits kama nilivyosema awali kazi yao kubwa ni kupindisha ukweli hata ikibidi kwa kumwaga damu. Lengo la tafsiri uchwa juu ya unabii kuhusu Mpinga Kristo (Upapa) zina lenga kuchanganya watu wasimtambue Papa kuwa yeye ndie. Mfano mwingine wa hoja za namna hii unabii wa Daniel na Ufunuo kuhusu mpinga Kristo Jesuits wameupindua kwa kutafsiri kwamba Mpinga Kristo alikwishatokea zamani (Prerestic) au atatokea siku za mwisho (futureristic). Lengo ni kuhakikisha kwamba Papa (Mungu wao) hahusishwi na tafsiri ya Mpinga Kristo.
Moja ya watu wanaofanya kazi kama Jesuits ni pamoja na Eiyer, Mkuu wa chuo na RGforever ambao kupitia uzi maalumu wanaendeleza kazi hiyohiyo.
Mbali na kudanganya, pia wanahusika kuchakachua Biblia (https://www.google.co.tz/webhp?sour...1&espv=2&ie=UTF-8#q=changing the word, walter). Wanahusika kuanzisha Evengelical Churches (Walter Veith - (25) Strange Fire / Total Onslaught - YouTube) na wanashirikiana na vikundi vya siri kama Freemasson kuuandaa ulimwengu kwaajili ya kumrejeshea Papa mamlaka yake aliyokuwa nayo wakati wa kipindi cha giza (253 - The Secret Behind Secret Societies / Total Onslaught Mini Series - Walter Veith - YouTube). Si hivyo wanapambana usiku na mchana kudhibiti kazi na matokeo ya Uprotestanti kwa lengo la kuurudisha ulimwengu wa Ukristo chini ya gereza la Upapa (Walter Veith - The Jesuits and the Counter Reformation #1 - YouTube)
Kiapo chao, ambacho sidhani kama Eiyer naye kala ni hiki hapa:
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]
I furthermore promise and declare that I will, when opportunity present, make and wage relentless war, secretly or openly, against all heretics, Protestants and Liberals, as I am directed to do, to extirpate and exterminate them from the face of the whole earth; and that I will spare neither age, sex or condition; and that I will hang, waste, boil, flay, strangle and bury alive these infamous heretics, rip up the stomachs and wombs of their women and crush their infants' heads against the walls, in order to annihilate forever their execrable race. That when the same cannot be done openly, I will secretly use the poisoned cup, the strangulating cord, the steel of the poniard or the leaden bullet, regardless of the honor, rank, dignity, or authority of the person or persons, whatever may be their condition in life, either public or private, as I at any time may be directed so to do by any agent of the Pope or Superior of the Brotherhood of the Holy Faith, of the Society of Jesus.
Source: http://www.reformation.org/jesuit-oath.html
Kwahiyo wakianza kuleta tafsiri ya 666 kama walivyofanya, tunao wajua tunawacheka tu kwani tunawafahamu kwamba hiyo ni kazi ya CLEVER DEVILS.
[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]
[/FONT]
Kazi ya Mejesuits (Misukule ya Vatikani) hii katika harakati za kumsafisha Papa.
Uroma na uislam ni kitu kimoja ktk kumpiga Kristo
Wewe huwa napenda uwepo kwenye mijadala kwa sababu moja yaani we ni mchekeshaji wa kijiwe, yaani kwa maana nyingine ni mshehereshaji tu...
Maana nikianza kuweka aya za quran nadhani hali inaweza ikabadilika... na nikikuuliza maswali nadhani unaweza ukachukia, busara yangu inaniambia nikuache uendelee kutubirudisha tu...
Wenzako wasabato wanadai nyie ni miongoni mwa Watakatifu mliouliwa na Papa ushahidi ni kutoka kwa msabato Lawkeys aliyotuwekea orodha ya watakatifu waliouliwa na Papa kwenye uzi ule mwingine...
ngojea niishie hapo...
nyie watu ni noma, nimesoma hapo yaani kila issue Papa anasingiziwa hadi kuchakachua maandishi ya Ellen G. White Jesuits wanaambiwa wao wanafanya hivyo wamejipenyeza hadi huko kwenu hadi kwa Wasabato hao jamaa ni noma, hawana tofauti na mfumo kristo, sasa imekuwa kama utamaduni kila kitu sehemu kikienda ndivyo sivyo wa RC wanasingiziwa wamekuwa kama punching bag...
Lakini katika ibada zao sijawahi kuona waki deal na imani za wengine, wala wakitoa shutuma...
CC: RGforever
You have written this out of ignorance. Kuna sababu 2.
1. Wakatoliki wengi unaokutana na ni ignorant. Na hiyo ni strategy, hawawezi kujibu kwasababu hawana hoja. Wanakaririshwa sala.
2. Jesuits wanapambana na ukweli strategically, kwa kurewrite historia, kudevice interpretations za unabii ambazo zinamuondoa papa kama mpinga kristo, wanachakachua vitabu vya E G White na Biblia mfano NIV, RSV, Douay. Na Mkuu wa chuo unawasadia katika kazi hii, kumbuka habari za Makabayo, Kumbuka uzi kuhusu E White, n.k. na sasa kupitia uzi huu.
3. Jesuits are tricky, wanajifanya wanapingana hapa aafu baadae wanakutana parokia kupokea ujira.
Utwambie tusi tulilo watukana RC! Tunaandika isipokuwa kwa ushahidi wa Biblia, machapisho ya Kikatoliki na Historia. Sijanukuu Great Controversy kwasababu najua mtakavyo luka.
Tutaquote Vatican.va, Katekismu na viapo vyenu vya siri period
Mkuu Mkuu wa chuo mimi leo nakufa mbavu aisee....Yani hawa Wasabato wanaruka na kukanyagana.....Wakiona wanaumizana wanasema RC ndo anawasababisha wanaumizana.....
Duhhhh.....Hawana tofauti na ndugu zetu Mfumo Kristo....Watoto wao wakifeli wanasema kanisa limewafelisha.....kwikwikwi..
Nasikia hata wale Wasabato Masalia na Matengenezo ni kazi ya RC na Jesuits....
Huko Marekani GC ya Wasabato inataka kupitisha Wanawake wa kisabato nao Wahubiri...Juvee2012 anadai ni kazi ya RC....
Ntuzu akigombana na Jirani zake eti Jesiuts ndo wamesanabisha......Hahahahaha
Mkuu wa chuo hebu nipe tofauti kati ya Wasabato na Waislamu....
Vitu vingine inakubidi ucheke tu, ndio maana hata Eiyer kamwambia hata baba yake akitofautiana nae anaweza akamwambia amekuwa Jesuit...Makubwaa haya Mkuu wa chuo , Eiyer na RGforever kumbe nyie ni Jesuits...?
Wasabato jamaniiii....Ni usiku lakini nakufa mbavu...
Huyo juve2012 ni Msabato ambaye hataki kijionesha....We msome kwa jicho la 3D....
Makubwaa haya Mkuu wa chuo , Eiyer na RGforever kumbe nyie ni Jesuits...?
Wasabato jamaniiii....Ni usiku lakini nakufa mbavu...
lengo la uekumene ni nini?
Utasikia umoja wa makanisa tanzania, world council of churches n.k.
Lengo lake ni:
the final object of ecumenism, as catholics conceive it, is unity in faith, worship, and the acknowledgment of supreme spiritual authority of the bishop of rome [the anti christ]. Priest j. Cornell.
freemasons
the truth is the jesutis of rome have perfected freemasonry to be their most magnificent and effective tool of accomplishing their purposes among protestants.
source: The grand design exposed, john daniel (middleton, idaho: Chj publishing, 1999), p. 302.
Kazi kweli kweli mkuu... Tofauti yao ni ndogo ila similarities ni hizi
Wakati hawa wanasema hata Adamu alikuwa ni Muislamu, hawa wengine wanasema hata Adamu alikuwa ni msabato hadi Mungu mwenyewe ni msabato...
Wakati hawa wanaamini matatizo yao mengi wamesababisha RC na Marekani, pia na hawa wanaamini hivyo hivyo kwasababu Marekani ndio nabii wa uongo kwa upande wa Wasabato...
Wakati hawa wanaamini Marekani imeunda Boko haram, Isis na Al qaeda na hawa wanaamini hivyo hivyo Bko haram, Al qaeda na Isis ni kazi ya RC ndio maana hata Lawkeys anakwambia hao wote ISIS ni watu wazuri ukilinganisha na RC...
ndio maana unaona wote matatizo yao wanatupia lawama Marekani na RC...
ndio maana saa nyingine wanaweza wakaungana kuwashambulia Wakristo wengine tofauti na wao...