Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Vitu vidogo sana, sema nyie wafia dini mnavikuza kwa faida yenu.
 
bila ya shaka hawa watu weupe hawana agenda njema na sisi, japokua wamedhamiria kutumaliza lakini naamini hawata fanikiwe.
 
Unaijua historia ya wayahudi walipotokea mwanzo?
Wayahudi ni watu wa makabila mawili,Yuda na Benjamin.Yahud linatokana na neno Yuda likimaanisha "Watu wa Yuda",waliitwa hivyo baada mgawanyiko wa mwaka 900 hivi kabla ya kuzaliwa Kristo na kuundwa kwa mataifa mawili ya Israel na Yuda....

Kabila la Yuda lilikuwa na nguvu kuliko Benjamin hivyo watu wote wa nchi ya Yuda waliitwa Wayuda [Wayahudi] na hata nchi ile ikaitwa jina hilo....

Siyo kila Muisraeli ni Myahudi lakini kila Myahudi ni Muisraeli....
 
Wajinga ndio waliwao.

Hizo picha zinafanana? au hujuwi maana ya kufanana?

Na huyo ndio mnyama mwenye mapembe kumi?

Upunguani mwingine ni wa hali ya juu.
Mambo ya wagalatia wa kisabato hayo ! Ukhti upo ?
 
....Biblia ni kitabu ambacho hata Yesu mwenyewe hakijui wala hakina mchango wake. Kazi ya mikono ya watu wazushi.
 
Wanaodhani Mungu anahitaji dini ni watu wasiomjua Mungu

Binadamu ndie aliyetengeneza dini
Mungu hakuanzisha dini yoyote,labda Mungu fake

Mungu alileta habari njema

Mungu awe na dini ili amuombe nani?

Ukristo sio dini ...!!
....confused buddy !
 
....labda upande huo, sie tumeambiwa Dini ya haki mbela ya Mwenyezi Mungu ni Uislaam, na tuliitwa Waislaam tokea wakati wa Adama na hata sasa. Na Uislaam umekuja kushinda dini zote hata kama Makafiri watachukia. Habari ndo hiyo.
 
Qur'an 3:19.
Dini ni Uislaam.
 
....ulikuwa nae mungu kupanga hili !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…