Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Na vizazi vyote vitaniita mbarikiwa.hili andiko linapatikana wapi?

Luka 1:46-49
46 Mariamu akasema, Moyo wangu wamwadhimisha Bwana,
47 Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu;
48 Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa;
49 Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu.

Tazama kwenye Red kuna jibu lako ....!!
 
Marko 1:46-49

Ni Luka hiyo mkuu...
 
Hebu acha maneno mengi,nimekuuliza kuwa hao wafalme 10 watainuka wakati Rumi ipo au itakuwa imeshaanguka?

Hoja iliopo ni root ya mpinga Kristo na sio hayo ya wafalme kumi.
 
Eiyer huyo juve2012 nimekwisha msoma muda mrefu yupo biased sana, kama utarejea wakati aki quote andiko langu katika huu uzi mwishoni alimalizia sasa ni zamu ya matusi, eti huwa tunajadili kwa matusi au ni fact zaidi!? alikuja kule kwenye uzi wa Ellen G. White akatetea nilimtandika maswali akatoka nduki hakuonekana tena, huku nilimuomba tuendelee kujadili...

Nimeshamsoma huyo ...!
 
Hoja iliopo ni root ya mpinga Kristo na so km hayo ya wafalme kumi.

Hoja iliyopo wapi tena mkuu?

Kama unataka kuzungumzia hoja uliyopo ni hoja ya mada ambayo sio hiki unahokileta wewe,hata kama ingekuwa ni hivyo kama unavyosema wewe kuna ubaya gani kujibu swali langu ambalo limetokana na hoja yako wewe?

Hbu nijibu bana,hao wafalme 10 watainuka wakati Rumi ipo au itakuwa haipo?
 
umeleta utetezi dhaifu kabisa.unafanya kz ya kuusafisha uroma na kuutupia upinga kristo uislamu.

Umeandika mambo mengi lkn hakuna cha maana ata kimoja.

Nimekupa ushahidi wa amri ya 4 ktk kitabu cha kutoka 20:8-11 jinsi rc walivyoibadili km daniel 7:25 ilivyosema unaleta habari za sharia ya waislam. Unapingana na kweli iliopo.

Yani uprotestant ni kazi sn siku hizi. Mmeacha njia yenu ya waanzilishi wenu na kilichobaki mnaomba msamaha tena kwa rc,na ndicho mnachofanya hapa ishamael na mkuu wa chuo kuwabembeleza eiyer na rgforever

eti obama anaonekana kutimiza unabii. Jidanganyeni wenyewe na hizo hoja dhaifu

Haha kisa aziendani na hoja za kisabato....
 
luka 1:46-49
46 mariamu akasema, moyo wangu wamwadhimisha bwana,
47 na roho yangu imemfurahia mungu, mwokozi wangu;
48 kwa kuwa ameutazama unyonge wa mjakazi wake. kwa maana, tazama, tokea sasa vizazi vyote wataniita mbarikiwa;
49 kwa kuwa mwenye nguvu amenitendea makuu, na jina lake ni takatifu.

tazama kwenye red kuna jibu lako ....!!

yaani mtu anashindwa hata kujua andiko hilo lipo wapi halafu eti ndiye m taalamu wa unabii... Puuuuh
 
Namsubiri Ishmael aje tujadili kile tunajadili huna hoja weye

Kuna hoja gani ya Ishmael uliyoikubali? unamuita mtu ambaye hujawahi hata kukubaliana naye hoja na kila saa mnapingana...

UMEULIZWA NA MIMI NILISHAWAULIZA TOKA 1844 MPAKA LEO JAMBO GANI LIMESHATOKEA KWELI NYIE MKITABIRI?.. Najua lingekuwepo ungeleta hapa haraka tu maana mnasifa za Uongo na Upotofu..

MPAKA LEO HUJAWAHI KULETA HATA SABABABU ZAKO 10 ZA KUMWITA ELLEN G WHITE NI NABII WA KWELI UMEBAKI KUKOMMENT TU KWAMBA WENGINE WANAKOSEA
 
Last edited by a moderator:

Ngoja nisubiri jibu lake
 
Umeleta utetezi dhaifu kabisa.unafanya kz ya kuusafisha uroma na kuutupia upinga kristo uislamu.

Umeandika mambo mengi lkn hakuna cha maana ata kimoja.

Nimekupa ushahidi wa amri ya 4 ktk kitabu cha kutoka 20:8-11 jinsi Rc walivyoibadili km Daniel 7:25 ilivyosema unaleta habari za Sharia ya waislam. Unapingana na kweli iliopo.

Yani uprotestant ni kazi sn siku hizi. Mmeacha njia yenu ya waanzilishi wenu na kilichobaki mnaomba msamaha tena kwa RC,na ndicho mnachofanya hapa ISHAMael na Mkuu wa chuo kuwabembeleza Eiyer na RGforever

Eti Obama anaonekana kutimiza unabii. Jidanganyeni wenyewe na hizo hoja dhaifu
Walid Shoebat anaelezea kiundani kwanini Uislam ndio utahusika na Kuping Kristo. Listen to him, then we will talk in detail.

Last edited by a moderator:
Umeleta utetezi dhaifu kabisa.unafanya kz ya kuusafisha uroma na kuutupia upinga kristo uislamu.

Umeandika mambo mengi lkn hakuna cha maana ata kimoja.

Nimekupa ushahidi wa amri ya 4 ktk kitabu cha kutoka 20:8-11 jinsi Rc walivyoibadili km Daniel 7:25 ilivyosema unaleta habari za Sharia ya waislam. Unapingana na kweli iliopo.

Yani uprotestant ni kazi sn siku hizi. Mmeacha njia yenu ya waanzilishi wenu na kilichobaki mnaomba msamaha tena kwa RC,na ndicho mnachofanya hapa ISHAMael na Mkuu wa chuo kuwabembeleza Eiyer na RGforever

Eti Obama anaonekana kutimiza unabii. Jidanganyeni wenyewe na hizo hoja dhaifu

IN RED:
For example, the Mahdi is said to appear on the world scene riding upon a white stallion, and some Islamic commentators point out that the white horse rider in Revelation 6, is the Mahdi which was predicted by John in the Apocalypse. The Mahdi will bring Islamic justice in a peace treaty for 7 years. This is interesting as Daniel 9:27 point out that a “prince that will come,” will make a covenant for seven years and break this covenant with Israel in the middle of the seven. One of the strongest points to parallel the Biblical Antichrist to this unknown person, who will arise, is in Revelation 20, where any person who receives Christ in the tribulation and rejects the worship of the image of the beast and refuses to receive the mark, name or number, will be beheaded (Rev. 20:4).

It is globally known that one of the methods of capital punishment in Islamic nations, including Saudi Arabia, is beheading.
 
Back
Top Bottom