Kwa upande wetu kama nchi, sina uelewa sana mkuu- Pengine watunga sera/sheria na Senior gvt officials wanaweza kutusaidia vyema.
Mengine kama ulipaji wa stahiki kwa wakati nadhan ni ishu ndogo kama zikipata kiongozi mtendaji na makini.
Kwa taarifa ambazo nilizisikia ingawa sina uelewa nazo sana ni kwamba
● Total wako tayari kuendelea na ujenzi, ila hawako tayari kulipa fidia wananchi kwa kuwa kwenye vipengele vya mkataba ni jukumu la serikali zetu, hvyo tatizo kubwa linasemekana ni serikali zetu hazipo tayari kuingia mfukoni kama issue ya ujenzi barabara ya kimara.