Bunge la Ulaya kuihoji TotalEnergies kuhusu athari za Bomba la Mafuta Hoima - Tanga (EACOP)

Bunge la Ulaya kuihoji TotalEnergies kuhusu athari za Bomba la Mafuta Hoima - Tanga (EACOP)

Nashauri Waziri wetu wa Nishati, Waziri wa Mazingira, NEMC na waandishi wa habari wazalendo waandamizi waandamane na MD wa TotalEnergies Tanzania kumsindikiza Patrick Pouyanné hapo Brussels, na kwa vile TL yuko Ubeligiji ajiunge, huku tukiandamana na a media team from Tanzania, na well wishes wenye nafasi twenzetuni Ubeligiji tukaitete nchi yetu!

Kama watu tumekwea pipa kwenda jijini London kuhudhuria tu Noting Hili Canival au kuangalia World Cup Doha, hatuwezi kushindwa kutimba Brussells kuitetea nchi yetu.

Hawa mabeberu wa ulaya waache kutuingilia na kutupangia kila kitu!.

P
Hawa watu hawajasema bomba tu ila project zote za mafuta na gesi. Hili azimio limesema wazi kuwa, makampuni ya ulaya, viongizi pamioja na balozi zao wasisupport huu mradi.
 
Hizi ndio gharama za TOTAL so far
  • Wametumia millions kufanya research ya kuona kama kuna mafuta
  • Wametumia millions kama kamali kufanya exploration kama kuna enough reserve ya mafuta for commercial exploitation (if not you loose that investment).
  • Baada ya kuona kuna mafuta, wamekopa mabenki kadhaa kufanya investment ili kukamilisha mradi.
  • Mkopo ambao hatujui ‘grace period’ zake kama ambazo hatujui.
TOTAL inafanya biashara kwenye industry ambayo heavily regulated kwenye environmental issues, based on past environmental issues and risk mitigation. Hayo mambo yana sheria kali huko kwao with heavy fines kama ni makosa yao (inategemea na host nations kama inaelewa hizo regulations, maana wanaweza kuzikwepa).
  • Total wanaolewa makubaliano ya kimataifa including sera za kimataifa kuhusu uwekezaji wa Carbon Emissions
  • Sera ambazo zinatambua limitations za West kuacha kuchafua mazingira na uhalali wa thirds kuchafua mazingira (if you know anything about carbon trading.
  • TOTAl ambao wanajua kuandaa miradi yao sambamba na matakwa ya environmental audit za kimataifa (trust me it’s a long story).
Trust me hawa watu, wanachotaka ni support tu za nchi zetu mradi ni environmental appraised, mengine watayajibu wenyewe.

Yaani kauli kama za Museveni wataalamu wao wanapewa kazi nyingine za ziada kupunguza hasira za kamati wanazoenda bishana nazo ila kwenye mazingira tu. Kwa dunia ya leo na matwaka yake ya uwekezaji kwenye sector ya uchimbaji wa watakuwa wamejipanga hakuna jipya otherwise as strategic planning kuna mtu hana kazi huko.

Tatizo kwao kwa sasa itakuwa ni uropokaji wetu waafrika, majuzi nilikuwa nasikiliza kipindi cha Azam TV jamaa wakiongelea hii issue huo upuuzi wa wataalamu was beyond me; serikali makini ingejua what constitutes environmental auditing sidhani kama ingeruhusu kila mpuuzi kuongea kwa niaba yake.

But then this is Tanzania, wenye kukasirika wakasrike ndio; moreover hakuna msomi mwenye uelewa wa diplomasia na biashara ya uwekezaji wa kimataifa angemshauri Museveni aongee upuuzi mnaosifia.

Ni hivi amchomoki for simple reasons hamna watu wenye uwezo kuongoza nchi.

Magufuli was another level huo ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom