Sidhani kama vina mahusiano.Naomba kuuliza hii ndio ile Vita ya kiuchumi tulokua twaambiwa.
Nachojua baadhi ya wananchi Ambao mradi unapita katika maeneo yao walifungua kesi mahakama ya ufaransa kwa kushirikiana na asasi za kiraia.
Key issues.
●Wananchi walilalamika kutokupewa stahiki zao halali kisheria kwa kuathiriwa na mradi.
●Mradi kuathiri mazingira yao ya asili.