Bunge la Ulaya kuihoji TotalEnergies kuhusu athari za Bomba la Mafuta Hoima - Tanga (EACOP)

Bunge la Ulaya kuihoji TotalEnergies kuhusu athari za Bomba la Mafuta Hoima - Tanga (EACOP)

Naomba kuuliza hii ndio ile Vita ya kiuchumi tulokua twaambiwa.
Sidhani kama vina mahusiano.

Nachojua baadhi ya wananchi Ambao mradi unapita katika maeneo yao walifungua kesi mahakama ya ufaransa kwa kushirikiana na asasi za kiraia.

Key issues.
●Wananchi walilalamika kutokupewa stahiki zao halali kisheria kwa kuathiriwa na mradi.
●Mradi kuathiri mazingira yao ya asili.
 
Wananchi wa wapi hao wewe? Fungua akili hiyo
 
Hivi Hii nchi ingekua Europe wangeweka hayo mapingamizi?
Fuatilia keystone pipeline iliyotakiwa kujengwa kutokea Canada kwenda US.

Moja ya sababu za huu mradi kuwa blocked ni issue za kimazingira, na opposition from indigenous populations.
 
Wazungu ni selfish na wanaogopa afrika kusimama yenyewe
 
Hivi vitu vimejaa mambo mengi sana. Msipokuwa na wazalendo huko frontline mradi utakwama alafu baadae utapita mombasa tuishie kulaumiana tu.

Mradi wa umeme wa Nyerere ulijifia miaka mingi sababu ya sabotage kama hizi. Hata sasa umezungukwa na mengi sababu walioupinga wapo na hawato surrender hadi pale tutapoionyesha dunia kuwa kuna mambo tutafanya kama Taifa huru bila kujali matokeo.
 
Wazungu ni selfish na wanaogopa afrika kusimama yenyewe
Makampuni mengi makubwa yameshaanza ku-shift priorities kwenda kwenye clean energy sababu ya hewa Ukaa, ingawa bado opposition to clean energy ni kubwa sana manake fossil fuels zinawapa faida kubwa na walishafanya huge investments.
 
Sidhani kama vina mahusiano.

Nachojua baadhi ya wananchi Ambao mradi unapita katika maeneo yao walifungua kesi mahakama ya ufaransa kwa kushirikiana na asasi za kiraia.

Key issues.
●Wananchi walilalamika kutokupewa stahiki zao halali kisheria kwa kuathiriwa na mradi.
●Mradi kuathiri mazingira yao ya asili.
Wewe unaelewa Nini kuhusu Vita ya kiuchumi?au wajua yapiganwa kwa kurushiana risasi?.
Hao wananchi waliofungua kesi ni wananchi wa nchi gani? Au wako mkoa gani hasa na wewe Hizo taarifa umezitoa katika chanzo kipi au wewe pia ni mnufaika wa hizo NGOS za kupinga mradi.
 
Hao wananchi waliofungua kesi ni wananchi wa nchi gani? Au wako mkoa gani hasa na wewe Hizo taarifa umezitoa katika chanzo kipi au wewe pia ni mnufaika wa hizo NGOS za kupinga mradi.
Penda kuwa up to date mkuu,

Kesi ilifunguliwa na wananchi wa Uganda na partial rulling kwa ajili ya kuisikiliza kesi ya msingi ilitolewa kwenye mahakama ya France kama sijakosea last year.
 
Nashauri Waziri wetu wa Nishati, Waziri wa Mazingira, NEMC na waandishi wa habari wazalendo waandamizi waandamane na MD wa TotalEnergies Tanzania kumsindikiza Patrick Pouyanné hapo Brussels, na kwa vile TL yuko Ubeligiji ajiunge, huku tukiandamana na a media team from Tanzania, na well wishes wenye nafasi twenzetuni Ubeligiji tukaitete nchi yetu!

Kama watu tumekwea pipa kwenda jijini London kuhudhuria tu Noting Hili Canival au kuangalia World Cup Doha, hatuwezi kushindwa kutimba Brussells kuitetea nchi yetu.

Hawa mabeberu wa ulaya waache kutuingilia na kutupangia kila kitu!.

P
Mnawachambuzi wabobezi kwenye eneo Hilo ,tasnia ya habari au unataka mtengenezewe ulaji Kama kawaida yenu inawezekana lisu mtaalam eneo Hilo kapiga sipana zakutosha huko tayari
 
Victory! Total Uganda case: the French Supreme Court recognizes the jurisdiction of the civil court​

The Court of Cassation just issued its ruling on the case against the oil giant Total, led by six French and Ugandan civil society organizations (CSOs) - Friends of the Earth France, Survie, AFIEGO, CRED, NAPE and NAVODA. This is the first legal action based on the law on the duty of vigilance of transnational corporations.​

For the claimants, today’s ruling by the Court of Cassation, giving jurisdiction to the civil court, is an important victory. The Court ruled in favor of the civil society organizations by recognizing the « right to choose » (‘droit d’option’) that they enjoy as non-commercial claimants3. By entrusting the case to the civil court, this decision makes it possible to fulfil the objectives of the law on duty of vigilance. The purpose of this law is to hold companies liable for the impacts of their activities on third parties, such as employees of subsidiaries, suppliers and subcontractors, local communities and the environment.
 
Juliette Renaud adds: « in the meantime, according to our investigations, more than 100 000 people are still totally or partially deprived of their land and livelihoods in Uganda and Tanzania5. Action is urgently needed, and we hope that the upcoming decision on the merits of the case will order Total to finally take concrete measures to stop these violations ».
 
According to Thomas Bart: « Despite repeated warnings from civil society, the project continues at full speed without any concern for the repression of people on the ground: our partners and community members who dare to raise their voices against this oil megaproject are subject to increasing intimidation, and arbitrary arrests are multiplying6”.

This ruling of the Court of Cassation sends back the case to the civil court of Nanterre, where a hearing, finally dealing with the merits of the case, should be held in the coming months.
 
Penda kuwa up to date mkuu,

Kesi ilifunguliwa na wananchi wa Uganda na partial rulling kwa ajili ya kuisikiliza kesi ya msingi ilitolewa kwenye mahakama ya France kama sijakosea last year.
Maamuzi ya mahakama yalikua ni yapi?kusitisha mradi kabisa au kufanyia kazi malalamiko yao? Vp kwa upande wetu sisi Tanzania malalamiko Kama hayo kwa jicho lako yapo au sisi tumelizika tu tumeachia mwenyezi mungu?
 
Nashauri Waziri wetu wa Nishati, Waziri wa Mazingira, NEMC na waandishi wa habari wazalendo waandamizi waandamane na MD wa TotalEnergies Tanzania kumsindikiza Patrick Pouyanné hapo Brussels, na kwa vile TL yuko Ubeligiji ajiunge, huku tukiandamana na a media team from Tanzania, na well wishes wenye nafasi twenzetuni Ubeligiji tukaitete nchi yetu!

Kama watu tumekwea pipa kwenda jijini London kuhudhuria tu Noting Hili Canival au kuangalia World Cup Doha, hatuwezi kushindwa kutimba Brussells kuitetea nchi yetu.

Hawa mabeberu wa ulaya waache kutuingilia na kutupangia kila kitu!.

P

Mawaziri wetu wapo fiti kwenye "KINGE"? Usifanye mchezo kwenye DEBATE ya kinge we muulize tu Ndugu yako Msukuma kasheku hadi data zikazima badala ya kuuliza swali akaanza kuuliza spika yupo wapi? Where are you for?
 
Maamuzi ya mahakama yalikua ni yapi?kusitisha mradi kabisa au kufanyia kazi malalamiko yao? Vp kwa upande wetu sisi Tanzania malalamiko Kama hayo kwa jicho lako yapo au sisi tumelizika tu tumeachia mwenyezi mungu?
Based on my understanding-Supreme court ilitoa rulling baada ya appeal based on procedures kuipa mahakama ya chini ya ufaransa uwezo wa kusikiliza dispute ya msingi, final determination nadhan bado, ila kuna temporary injuction.
 
Maamuzi ya mahakama yalikua ni yapi?kusitisha mradi kabisa au kufanyia kazi malalamiko yao? Vp kwa upande wetu sisi Tanzania malalamiko Kama hayo kwa jicho lako yapo au sisi tumelizika tu tumeachia mwenyezi mungu?
Kwa upande wetu kama nchi, sina uelewa sana mkuu- Pengine watunga sera/sheria na Senior gvt officials wanaweza kutusaidia vyema.

Mengine kama ulipaji wa stahiki kwa wakati nadhan ni ishu ndogo kama zikipata kiongozi mtendaji na makini.

Kwa taarifa ambazo nilizisikia ingawa sina uelewa nazo sana ni kwamba
● Total wako tayari kuendelea na ujenzi, ila hawako tayari kulipa fidia wananchi kwa kuwa kwenye vipengele vya mkataba ni jukumu la serikali zetu, hvyo tatizo kubwa linasemekana ni serikali zetu hazipo tayari kuingia mfukoni kama issue ya ujenzi barabara ya kimara.
 
Back
Top Bottom