Bunge la Ulaya kuihoji TotalEnergies kuhusu athari za Bomba la Mafuta Hoima - Tanga (EACOP)

Na wao viongozi pia wanabanwa akitokea ambaye yupo tofauti nao, vikwazo vinaanza. Afrika ndio godown la nchi za Ulaya na Marekani, na wao wazungu wanaamini hivyo
 
Mambo kama haya Lissu haongei sijajua kwanini au labda kwa sababu ni mpinzani.
 
Its too late. Wanamiliki kila kitu mpaka akili yako.
 
UG waweke Tozo ya kupitisha bomba la mafuta TZ.
 
Mtanikumbuka
 
Nimependa ujibuji wako wa maswali bila kupaniki Safi Sana jukwaani wote tungekua Kama wewe Basi sehemu hii ingekua sehemu nzuri ya kuchotea maarifa.
 
Na wao viongozi pia wanabanwa akitokea ambaye yupo tofauti nao, vikwazo vinaanza. Africa ndio godown la nchi za Ulaya na Marekani, na wao wazungu wanaamini hivyo
BASI ukoloni bado upo.... Inabidi tuukatae
 
Asilimia kubwa ya faida ya ujenzi wa Bomba hilo inaenda kwa hao hao watu wa ulaya kupitia kampuni ya Total.
Tanzania na Uganda zitafaidi kidogo kuliko wazungu na wachina katika mradi huo kwa ujumla na hivyo hakuna sababu ya kupiga kelele kijinga. Watu wa ulaya watamalizana wenyewe na kampuni yao.
 
Kama waliweza kuwaweka viongozi wetu kwenye basi na wakakubali .

Sioni ni kwa namna gani viongozi hao waliopandishwa basi wakipingana na matakwa ya hawa mabwana.
 
Na Sasa Nordstrom 2 inavuja
Linapokuja suala la kunufaika wao hawapg kelele. Kwanza wao ndo wachafuz maana wana maviwanda mengi wana urbanization kwa kiasi kikubwa sisi bado sana
 
Mabeberu ni mabeberu watabaki kuwa mabeberu, kamwe hawatatutakia mema. Ukimaliza jambo la environment wataweka human rights yaani ushoga. Hatutashinda tukitaka kuwaridhisha, unajiuliza kwa nini CHADEMA wanangana nao kutupiga vita.
 
Dooh! Sawa msomi....
 
Very much true. Tuwakazie tu bila hivyo wanatuharibia miradi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…