Bunge la Ulaya lataka Lissu aachiwe mara Moja. Lamshangaa Rais Samia

Baada ya mashambulizi haya tangulizi, kitakachofuatia ni Watawala kuwekewa Vikwazo vya Kimataifa na mwisho wake Watawala hao kuwekewa Hati ya Kimataifa ya kukamatwa (Arrest Warrant) ili wafikishwe kwenye Mahakama ya Uhalifu ya ICC- The Hague
Jifurahishe tu kwa maana kuandika ushuzi humu huchajiwi chochote.
 
Jifurahishe tu kwa maana kuandika ushuzi humu huchajiwi chochote.

Hata Raia Robert Mugabe wa Zimbabwe alipowekewa vikwazo vya Kimataifa na Umoja wa Ulaya sakata lake lilianza kama hivi hivi. Mwanzoni kabisa Chawa wa Rais huyo walidhani kama ilikuwa ni mzaha, lakini mwisho wake ikawa kweli
 
Ile ni vita usichangajye mambo na ni vita ya kimipaka ambayo haina uhusiano na unyanyasaji wa kisiasa ndan ya nchi
Kwani ujui ata Ulaya na hiyo IDU inavuka mipaka au ?
 
Hata Raia Robert Mugabe wa Zimbabwe alipowekewa vikwazo vya Kimataifa na Umoja wa Ulaya sakata lake lilianza kama hivi hivi. Mwanzoni kabisa Chawa wa Rais huyo walidhani kama ilikuwa ni mzaha, lakini mwisho wake ikawa kweli
Tanzania hamna wa kutuwekea vikwazo kwasababu ya vibaraka wao...IDU na Ulaya are not international government member
 
Kwahiyo ADUI zako wawili wakipigana, wewe shangilia ila usiegemee uapnde...
 
Unanipa bando?
Umenilisha mchana?
Umeninunulia hii device ninayotumia?
Umenipa maarufa ya kutambua kua bila mabadiliko ya kweli CCM haiwezi kutoka madarakani?
Acha myopic thinking.
Wajuukuu zako wataikuta CCM madarakani Mangi taka usitaka ni ngumu KUMESA
 
Watuache hawa, tumeanzisha urafiki na Putin na Kim Jong wa North Korea.
 
Kuna mtu anateguliwa kiuno kwa kushupaza shingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…