Bunge la Ulaya lataka Lissu aachiwe mara Moja. Lamshangaa Rais Samia

Hapa ndio unaongea nini Meku ,mtateseka sana na tutawatala hadi vitukuu vyenu kudadeki

Ukitawala wewe na mama yako unaumia nini sasa? Acha Maisha ya wengine kule mashimoni yaendelee nyie kuleni kwni nani kakuzuia? Usitupangie tu na miguu yetu ya kuku sisi kenge
 
madikiteita hawaogopi maneno, ni kipigo tu
 
Yaani shida ya watu wa CHADEMA huwa wana jiona wao pekee ndio wanao miliki akiri. Uki wakosoa ni ugoovi. Wanataka democracia lkn hawako tayari kukosolewa.
Kwanamna hii Lissu hafai kuwa kiongozi wa nchi hii maana hadi hapa ishakuwa dhahili ni kibaraka wa Bunge la Ulaya.
Imagine mwamba kama Traole wao wana mpiga vita halafu wana mtete Lissu.
 
Hakuna kuluachia huyo,si alisema anakinukisha,alete vurugu,sasa ananuka yeye
 
Naunga mkono hoja yako
 
Wangekuwa na akili mpuuzi kama Mrema aliwezaje kuwa mkurugenzi miaka yote ?
 
Hawa nao Ni magwajima, tuwaache nje.
 
hakuna taasisi yoyote kutokea upande wowote duniani inaweza kuielekeza au kuiamrisha Tanzania inayojitegemea kutekeleza chochote.
Hakuna taasisi kama hiyo.

Na wala Tanzania haiwezi kubabaika na nonsense kama hizo dhidi ya mambo yake ya ndani.

waropkaji wakiuka sheria watawajibishwa kwa mujibu wa sheria bila huruma wala haya licha ya mayowe ya kindezi ndezi yanayopigwa 🐒
 
You should have focused on the message instead of trying to look for a missing word.You are simply a son of a bitch
Silaha ya mpumbavu ni matusi.
Pole sana kwa umasikini wa akili na kipato kunakopelekea kuwa na hasira kwa waliokuzidi kiakili na kifedha.
Nimekusamehe kwa kuwa hukupenda kuwa hivyo, ni tatizo la vinasaba ulivyonavyo tangu siku ile mimba yako imetungwa kwenye mkesha wa mwenge.
 
Tukana si ulijifanya unajua lugha wewe Nyumbu ?
 
I wish I could hold you all the day long.
 
Wanaweza muachilia huru Lissu usiku wa Leo maana hamna kesi pale.
 
Kibaraka akapambane mahakamani ,hao hawatamsaidia
 
We kahaba usiye na haya kahamie hiyo nchi inaitwa Ulaya. Hao wabunge ht km ni wa Ulaya waambie hii nchi haiitwi Ulaya. Hao ndio wanaprove Lissu ni kibaraka wao na ni mhaini. Hao ni mbwa km ww mbwa koko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…