Bunge la Ulaya lataka Lissu aachiwe mara Moja. Lamshangaa Rais Samia

Lissu ni puppet (kibaraka) wao. Kupitia kwake akiwa rais nchi yetu itaklrudi kwenye himayayao. Lazima tupambane nao kama walivyopambana na babu zetu akina Mkwawa wa wahehe Mirambo wa wanyamwezi na Kinjekitile wa wagoni etc
PUPPET wa Waarabu humuoni kabisa, eti? Anagawa tu vipande vya ardhi yetu kwa "WAJOMBA ZAKE" kama njugu, IDIOT.

 
Nashauri jumuiya ya Ulaya imkamate Abdul wa Samia na kumpotezea tuone kama Ponjoro wa Kizimkazi hatosema kitu
 
mambo ni moto, kila siku jambo jipya
ccm wana wakati mgumu sana
 
unajua rais wetu ni kama hawajui wazungu, aliye karibu amsanue ili nchi ipone maana hata tukiumizwa yeye hana shida ila watu wa chini ndio wataumia.
 
Wewe ni mjinga sana. Unadhani kila mtu ni kilaza kama ulivyo wewe?
 
Bunge Lina nguvu sana hilo

Haliitaki mahakama Bali linamtaka samia

And at the same time linataka mahakama iwe huru
Kwani huu ujinga hata wa kutokamilisha upelelezi unafanywa na mahakama au huyo samia kupitia kwa chawa wake waendesha mashitaka?
 
Kwani huu ujinga hata wa kutokamilisha upelelezi unafanywa na mahakama au huyo samia kupitia kwa chawa wake waendesha mashitaka?
Samia haingilii mahakama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…