Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Dola milioni nani ni bilioni 18,pesa ndogo sana
Mliziomba za nini,na si mlisema gavoo itasimamia bajeti ya uchaguzi kwa 100%

Bilioni 18 ni ndogo,siamini kama umewahi kushika hata lakini Moja cash
 
..ona ujinga wako..nchi kuzungumziwa kwa mwelekeo hasi kwako unaona sifa, foreign policy yao ikifeli na china ikifaulu wewe unapata nini..
lini kwamfano hata wewe tu umeielezea Tanzania positively?

kazee kama kale katamshawishi nani huko bungeni ulaya aamini kitu ambacho hata yeye mwenyewe hana detailed informations kama alivyokiri?

ni nonsense tupu, EU au block yeyote ulimwenguni hawawezi kuielekeza Tanzania namna ya kupractice demokrasia
 
Reactions: UCD
N
Nilisema humu,

Waswahili maneno mengi,

Hawana pesa ya uchaguzi .

Ni shart waridhie reforms kabla ya uchaguzi.
 
Wangekuwa hawawezi kuielekeza hilo bakuli mlipeleka la nini..
 
Duh! 🙄 Hata uchaguzi tu mpaka tuombe msaada, hii nchi ni failed state na wahuni wachache tu ndio wametufikisha hapa.
Kwani Hela hakuna basiiii !? Hela zipo ila watu wanataka kuzipiga kijanja pesa za mabeberu halafu katika malipo watubebeshe sisi Wananchi zigo la kulipa Kwa kutukamua katika ulipaji Kodi
 
kazee kamepotoshwa na kanawapiga biti mabaolozi wa EU huenda ni kwasababu hakafahamu ustaraabu na sheria za kimataifa. Tanzania sheria zetu ni active na anaekiuka anawajibishwa kikamilifu bila kujali mayowe ya ndani au nje ya nchi
Dikteta samia kwasasa ni kama SIAFU, yuko tayari kichwa kiachane na kiwiliwili lakini abakie ameshikilia madaraka tu.
 
Mkatae pia kupewa msaada wa zile dawa za kufubaza makali ya HIV ili tuone jeuri yenu.
Kwenye bajeti ujaona tumeweka tozo kwenye mafuta? Au hujasoma hata bajeti au uko kwa mabeberu?
 
Watu wenye kukosa pesa ya kujenga matundu ya vyoo,

Wapate wapi pesa ya uchaguzi,

Na wizi wamwachie nani?

NRNE 💪 🔥
Kwani 2020 walitoa hata senti 5 mbona ulifanyika?
 

Mbona tunaambiwa kwamba uchaguzi unagalimiwa na fedha za ndani na hii clip inasema kwamba tumeomba, ukweli uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…