Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Mama kaharibu NCHI Hadi tumekosa misaada.sasa tutakula Nini Sasa kama tusipopewa huyo misaada yetu.Mama jiuzulu ili tupate misaada yetu kutoka kwa marafiki wetu wa damu
 
Kwenye bajeti ujaona tumeweka tozo kwenye mafuta? Au hujasoma hata bajeti au uko kwa mabeberu?
Huo muda wa kusoma huo upuuzi ninautoa wapi!

Mna raslimali za kila aina, mnawaachia wageni wazichukue kupitia mikataba yenu ya kijinga mliyoingia nao! Halafu mnajisifia kuwawekea wananchi mitozo yenu isiyo na kichwa wala miguu! Nyinyi ni ma failures wa mwisho kabisa hapa duniani.
 
Mkuu upo nchini au uko kwa mabeberu?
 
Serikali ilishasema uchaguzi huu hautagharamiwa na yoyote nje ya serikali

Hiyo pesa wanafahammu kwamba Tanzania haiitaki

Watumie Kwa kwzi nyingine

Lakini tumekopa tlioni 40, kutoka kwenye Benk zao
 
Nilisikia Watawala wakisema Uchaguzi utagharamiwa Kwa pesa za ndani...!

Kulikoni Tena...!?
Na Wazungu wasivyopenda Unafiki.....!

Sasa Media wasizime Simu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…