Bunge la Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) lapitisha maazimio kumtoa Museveni madarakani muda wowote

Ndugu yangu yaaani isalimike kujadiliwa DRC,Burundi,Zimbabwe,Sudan ambayo Rais wake bado anakesi na anahitajika ICC mpaka leo hajakamatwa ije kuingiliwa Uganda!?
Hizo zinajadiliwa sana tu, sema hii ndio umeona majadiliamo yake hapa
 
WADHUNGU NI KWA MASLAHI YAO TU, HAWANA HABARI NA KUMSAIDIA MTU MWEUSI KATIKA JAMBO LOLOTE!
WAO WANAANGALIA KUUZA SILAA!
AMKENI VIJANA WADOGO WALAHI!
Usipotoshe umma wewe!!

Madikteta lazima wang'olewe!!

Haiwezekani kibabu cha miaka 90 bado kimeng'ang'ania madaraka tu.

Ng'oa hilo dikteta!
 
Still No Action taken....full stop.
Action zinachukuliwa mbona, hukusikia Burundi wamewekewa vikwazo? Maafisa wa juu wa DRC kupigwa marufuku kusafiri n.k...hiyo kumtoa Museven madarakani kinguvu hawawezi kwa sasa na hawajasema, ni chumvi za mtoa mada tu
 
Swala la vikwazo ni normal, Zimbabwe aliwekewa vikwazo mpaka leo bado kawekewa vikwazo, Uganda amewekewa vikazo pia vingi tuu, Rais wa Sudan kawekewa vikwazo pia juu ya kesi yake ICC...lakini wengi humu wanahisi hao wazungu wanaweza kuwaondoa madarakani vyovyote anavyotaka hao wazungu kitu ambacho si kweliii hawana hayo mamlaka...
 
Ndugu yangu yaaani isalimike kujadiliwa DRC,Burundi,Zimbabwe,Sudan ambayo Rais wake bado anakesi na anahitajika ICC mpaka leo hajakamatwa ije kuingiliwa Uganda!?
sio wazungu wote wanaikubali ICC mkuu
 
Kwa jinsi nchi za africa zilivyokuwa na umoja sasa ni vigumu sn wazungu kumtoa kiongozi madarakani ndio maana hata rais wa sudan anapeta tu.
 
heheheheh hawawezi hawatoweza.....hawana hiyoo nguvu,nchi huru kama uganda haiingiliwi kizembe hivyoo...
Mapovu tu hayasaidii, Uganda wana nguvu gani na jeshi lipi kushinda la Libya, wazungu wakiamua hata magogoni wanaingia muda wowote.
 
Hujakosea, ila hiyo revolutionary move yaweza tokea popote. If there was an arab spring (revolution) there can also be an east african spring (revolution).

The question is, itaanzia wapi? Itaweza kusambaa? Dont underestimate anything.
 
Past events do not guarantee and/or warrant future events.

Every situation has its own merits.
 
Mapovu tu hayasaidii, Uganda wana nguvu gani na jeshi lipi kushinda la Libya, wazungu wakiamua hata magogoni wanaingia muda wowote.
Mnazungumzia Imaginary things, wawaingilie kinguvu kwa grounds zipi haswa!??Na waamue kwa kupitia Mkataba gani wa kimataifa unaowapa hayo mamlaka na hiyoo ruhusa!??
 
Kwamba mavi yamegonga kyupi lumumba [emoji16][emoji16]
 
Hujakosea, ila hiyo revolutionary move yaweza tokea popote. If there was an arab spring (revolution) there can also be an east african spring (revolution).

The question is, itaanzia wapi? Itaweza kusambaa? Dont underestimate anything.
that is the thing, na hatujafikia hizo extent hatuna upinzani wenye nguvu kusema wataanzisha hizo vuguvugu, hatuna wananchi ambao asilimia kubwa wanamind set ya kuingia barabarani,hatuna...tusubiri miaka 20 ijayo labda...
 
Sisi tulishindwa kumuunga TAL mkono, kwa maandamano na kupaza sauti. Hivyo jambo lile likawa kama ni jinai ya kawaida. Tatizo la waTz ni uswahili na uoga .
Hatupiganii tunachokiamini [emoji120]
Mkuu lakini sasa hivi watu wako tayari sana
 
Una vifaa au advanced technology ya kushinda in case nguvu ikitumika
Wanamamlaka gani inayowapa nguvu kuingilia nchi nyingine kinguvu!??grounds zipi!??mkataba upi huo unaoruhusu kuingilia nchi nyingine!?
 
Kule kwenye kura wale wanaochakachua kura tukiondoka na mmoja itakuwa mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…