Bunge la Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) lapitisha maazimio kumtoa Museveni madarakani muda wowote

Mnazungumzia Imaginary things, wawaingilie kinguvu kwa grounds zipi haswa!??Na waamue kwa kupitia Mkataba gani wa kimataifa unaowapa hayo mamlaka na hiyoo ruhusa!??
Grounds zipi kwani Iraki waliingia kwa grounds zipi hizo WMD zimeshaonekana hadi leo, wakitaka wanakupata tu hata kwa grounds za ku foji.

Badala ya kupoteza muda jiandaeni kumsaidia rafiki yenu maji yanakaribia puani sio shingoni tena.
 
inawezekana 80% coz.. still neo-colonialism ina trend... na jamaa nae museveni anazngua tu atolewe
 
Grounds zipi kwani Iraki waliingia kwa grounds zipi hizo WMD zimeshaonekana hadi leo, wakitaka wanakupata tu hata kwa grounds za ku foji.
Mnaforce baadhi ya vitu vitokee lakini sivyo hivyo mnavotaka, kila kitu kinataratibu zake,na unaleta scenario za Iraq ambazo ni Far away different kwa tunachokizungumzia hapa...
 
Kule kwenye kura wale wanaochalachua kura tukiondoka na mmoja itakuwa mfano
tatizo kelele nyingi mko ughaibuni hata kura hampigi, halafu mnjumuika kulalamika mnaibiwa kura. come and join what you call a struggle.
 
Hawa wazungu kuna jambo wanalitafuta Africa ya Mashariki. " Destabilization of East Africa". Ndugu zangu tuwe makini sana tena sana.
Ujinga unaanzishwa na watawala!
Mtu anaamka na kulitangazia taifa eti siasa za majukwani marufuku!! Watu wanpata pa kuanzia mapambano yao, halafu kuna mjinga anawalaumu wapambanaji badala ya mtoa amri ya kipumbavu.
 
Mnaforce baadhi ya vitu vitokee lakini sivyo hivyo mnavotaka, kila kitu kinataratibu zake,na unaleta scenario za Iraq ambazo ni Far away different kwa tunachokizungumzia hapa...
Jiandaeni kumsaidia rafiki yenu anakwenda na maji, juzi kaja magogoni usiku usiku sijui alikuwa anaomba hifadhi. ameyataka mwenyewe.
 
Kuti la mazoea lilimuangusha mgema.
 
Jiandaeni kumsaidia rafiki yenu anakwenda na maji, juzi kaja magogoni usiku usiku sijui alikuwa anaomba hifadhi. ameyataka mwenyewe.
heheheheh kwani na nyie kesi yenu ya Uchaguzi mkuu 2015 kule ICJ imeishia wapi!??
 
that is the thing, na hatujafikia hizo extent hatuna upinzani wenye nguvu kusema wataanzisha hizo vuguvugu, hatuna wananchi ambao asilimia kubwa wanamind set ya kuingia barabarani,hatuna...tusubiri miaka 20 ijayo labda...
Correct. Very correct. Wananchi walio wengi ni wajinga, na upinzani bado ni dhaifu sana. Nafikiri miaka 20 haitutoshi labda 50 hivi.
 
Ndugu yangu yaaani isalimike kujadiliwa DRC,Burundi,Zimbabwe,Sudan ambayo Rais wake bado anakesi na anahitajika ICC mpaka leo hajakamatwa ije kuingiliwa Uganda!?
Nikimtafakari Saddam,. Mubarak , . Gaddari. Huwa naona Hawa jamaa lolote wanaliweza. Suala no kukuamlia tuu wakiamua. Hamna kitu wanashindwa.
 
utachoka tu mkuu kuwaelimisha hawa mashabiki wasioelewa mambo ya kimataifa, wanashangilia wakidhani ni simple kama kula sato na udagga.
 
Hamna aliye shitaki,. Na zaidi Sana bado tuna upepo wa Nyerere,. Huo upepo ukiisha tutashuhudia makubwa. Tuombe uzima tuwepo. Na Kuna makaburi yatachapwa viboko
 
Na mungu awaangazie hao wazungu watumie uwezo wao maana kwa kura inaonyesha haitawezekana kwenye nchi za Africa hawasomi alama za nyakati
Na kweli kwa kura ni ndoto kwa Afrika maana hakuna chaguzi ila viini macho.
Watume hata majasusi wao wafuatilie ukwapuaji wa kinguvu kabisa utakaofanywa Ukanga na Monduli ndio wajiridhishe.
 
Cha ajabu hata hiyo simu unayotumia ku comment ujinga hapa imetengenezwa na haohao wazungu....katika list ya watumwa wa wazungu na wewe ni mmoja wao
Hujui maana ya utumwa. Ingekuwa una maana hiyo then wazungu ndiyo watumwa zaidi kwa kuwa wao ndiyo wanatoa almost everything wanatoa kwenye. Lakini kwa kuwa ni mtumwa wa wazungu kiakili then hutatambua mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…