Bunge la Wananchi wanatoa tamko muda huu, kuhusu ardhi

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
23 February 2024
Morogoro, Tanzania


View: https://m.youtube.com/watch?v=Z53l5mEXWwU
Migogoro ya ardhi kutokana na wingi ya idadi ya watu nchini, matumizi ya ardhi kwa kilimo na ufugaji yanatakiwa kupatiwa ufumbuzi wa haraka.

Pia ufafanuzi wa umiliki wa ardhi elimu ya uraia yatolewa na bunge la wananchi :
  • Ardhi iliyogolewa visiki na kusafishwa na wananchi
  • Ardhi inayomilikiwa na kijijini
  • Umiliki kupitia urithi, kununua
  • Sheria za ardhi ya mwaka 2019
  • Kamishna wa ardhi
  • Mabwanyenye kugawiwa ardhi ya wananchi
  • Wabunge husika kukaa kimya
  • Rais kama mdhamini wa ardhi
  • N.k
 
Spika ni nani?
Nguvu yao kisheria ikoje?
 
Ok sawa πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…