johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakuna naibu? Mbona sometimes hata waziri mwingine anaweza kumshikia.Si wamesema mawaziri husika wa nishati hawamo bungeni
Wote hawamoHakuna naibu? Mbona sometimes hata waziri mwingine anaweza kumshikia.
Posho hawatalipwa leo?Wakati mbunge wa viti maalumu mh Magige akichangia bajeti ya Nishati ghafla mwenyekiti ameahirisha bunge kwa nusu saa na ametoka ukumbimi...
Majukumu mengine ya KitaifaSababu za kutokuwepo ni nini wakati wanajua mjadala ni WA wizara yao?
Hiyo siyo sababu ya msingi Kwa kile kinachoendelea bungeni kwenye wizara yaoMajukumu mengine ya Kitaifa
Wanakagua vituo vya mafuta vilivyokaidi kushusha beiHiyo siyo sababu ya msingi Kwa kile kinachoendelea bungeni kwenye wizara yao