Bunge laahirishwa ghafla baada ya Waziri January Makamba na Naibu wake kukosekana Bungeni

Bunge limeahirisha shughuli zake kwa muda wa dakika 30 kwa sababu Waziri wa Nishati, January Makamba na Naibu wake Stephen Byabato hawakuwepo wakati mjadala wa hotuba ya wizara hiyo ukijadiliwa.
.
Watoto Wa Wakubwa Wanalisubilisha Bunge

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata kama wangekuwepo lile bunge la namna ile lingefanya kitu gani cha ajabu?

Ndio maana linadharaulika.
 
Bunge limeahirisha shughuli zake kwa muda wa dakika 30 kwa sababu Waziri wa Nishati, January Makamba na Naibu wake Stephen Byabato hawakuwepo wakati mjadala wa hotuba ya wizara hiyo ukijadiliwa.
.
Watoto Wa Wakubwa Wanalisubilisha Bunge

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapo wanapiga supu Royal village bila shida
 
Makamba kijana wa Kikwete na kipenzi cha Mama, nafikiri kwenye baraza hili huenda ndio waziri anaongoza kwa dharau na kujiona so special kushinda hata Mchengerwa!!
 
Mchengerwa Kila siku analala Zanzibar na Kupanda ndege Kila siku Kuja Bara, Huyo Hakaripiwi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Bunge limeahirisha shughuli zake kwa muda wa dakika 30 kwa sababu Waziri wa Nishati, January Makamba na Naibu wake Stephen Byabato hawakuwepo wakati mjadala wa hotuba ya wizara hiyo ukijadiliwa.
.
Watoto Wa Wakubwa Wanalisubilisha Bunge

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tuki Sema January Makamba ni chaguo la JK sasa mtaelewa. Huwa hajali kwa sababu aliitiwa uwaziri wa bure
 
Back
Top Bottom