Bunge laahirishwa ghafla baada ya Waziri January Makamba na Naibu wake kukosekana Bungeni

Hata kama wangekuwepo lile bunge la namna ile lingefanya kitu gani cha ajabu?

Ndio maana linadharaulika.
 
Hapo wanapiga supu Royal village bila shida
 
Makamba kijana wa Kikwete na kipenzi cha Mama, nafikiri kwenye baraza hili huenda ndio waziri anaongoza kwa dharau na kujiona so special kushinda hata Mchengerwa!!
 
Makamba kijana wa Kikwete na kipenzi cha Mama, nafikiri kwenye baraza hili huenda ndio waziri anaongoza kwa dharau na kujiona so special kushinda hata Mchengerwa!!
Mchengerwa Kila siku analala Zanzibar na Kupanda ndege Kila siku Kuja Bara, Huyo Hakaripiwi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tuki Sema January Makamba ni chaguo la JK sasa mtaelewa. Huwa hajali kwa sababu aliitiwa uwaziri wa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…