Bunge laahirishwa ghafla baada ya Waziri January Makamba na Naibu wake kukosekana Bungeni

Untouchable [emoji56]
 
Wanasema baada ya kutangaza kuahirisha, aliingia bungeni fasta, wengine wakataka bunge liendelee, wengine wakagoma. Source: Mwananchi
 
Bunge watatafuta namna nzuri ya kuweka hili ili kulinda taswira nzuri ya mwezi wa kwanza [emoji854]
 
Isije kuwa wameng'ang'aniwa na akina Ashura maana wakati wa bunge malaya ni wengi zaidi ya 500 huingia Dom kuwinda madushe.
 
Mimihata najuwa wametekwa kumbe wamerudi
 
Bunge au kikao Cha CCM? Hayo ni madhara ya JPM. Bila yeye leo tungekuwa na bunge la wananchi
 
Kwani Makamba asipokuwa Wazir mvua haitanyesha nchi hii? Mbona kuna vitu tunataka kuvihalalisha kuwa Serikali yetu ni kusanyiko la wahuni fulani?
 
Waziri kupatikana kutokana na Ubunge ni kuimarisha mifumo ya rushwa , Upendeleo na matumizi mabaya ya Mali na fedha za umma.

Mawaziri wengi wanaongoza Kwa Rushwa wakati wa uchaguzi.
Mawaziri wengi wanakua kama wafadhili wa maendeleo kwenye majimbo yao na kuwafanya wananchi muda wote kutegemea misaada ya m,aendeleo.

Katiba mpya ni mwarobaini . Mawaziri wasitokanr na Ubunge.
 
Ccm ni mafiiii
 
Mwenyekiti alikuwa amisha sema,Serikali IPO baada ya Tulia kumuekeza akageuza uelekeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…