Bunge laahirishwa ghafla baada ya Waziri January Makamba na Naibu wake kukosekana Bungeni

Mwenyekiti wa baraza la mawaziri, kwenye kikao cha baraza hilo, aksikika akimu-address mmoja wa mawaziri

"mwanangu Bashungwa"

Bila uoga, hakuna nidhamu
Kwani hiyo kauli Ina shida gan? Acha ukoloni
 
Mbona hujatujuza yaliyojiri johnthebaptist !!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameonekana kwenye mnada wa mbuzi Mbande.
 
Mawaziri ambao wanaingiza nchi kwenye shida ni Makamba na Mwigulu Nchema kwanza wana dharau halafu kichwani hawana mbinu yeyote ya kuwasaidia wananchi bali wapo kupiga dili.
 
Hapo nahisi watakuwa wamepanda Helicopter kwenda Bwawa la Mwl. kujiridhisha na kazi inayoendelea ili wakiulizwa maswali wawe tayari kujibu kwa ufasaha.
 
Hapo nahisi watakuwa wamepanda Helicopter kwenda Bwawa la Mwl. kujiridhisha na kazi inayoendelea ili wakiulizwa maswali wawe tayari kujibu kwa ufasaha.
Walikuwa Chako ni Chako wanakula supu na mademu zao
 
Ni kiongozi shujaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…