Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Ukweli MchunguHapo unarudi mtaani kuendelea na shughuli zako huku milioni 11 ikiingia kila mwezi. Ubunge raha sana
Halafu vijana wanaambiwa wakajiajiriUkweli Mchungu
Hawa Watu Wanaoitwa Wabunge
Wanatupiga Sisi Watanzania!!
Mmoja Kasema Anatamani Kutoa Roho Ya Mtu
Kwa Raha Za Bungeni Yaani 😏😏🙄🙄😶😶
Siyo SawaHalafu vijana wanaambiwa wakajiajiri
Shule elfu moja/QUOTE]..
Nasikia wawili wako kwenye oxygen Ben Mkapa Hospital.Zumbukuku ulimwengu upo huku...
PM mzima unashindwa kuongelea janga lenye changamoto ya kupumua bungeni, wakati watu wanateketea.
Kitaeleweka tuNasikia wawili wako kwenye oxygen Ben Mkapa Hospital.
Watangaze hata kesho wameshajenga shule 5,000 hakuna atakayebisha.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameahirisha vikao vya Bunge hadi Machi 30, 2021, na kusema kuwa serikali ipo kwenye utekelezaji wa kujenga shule mpya 1026, kwa kutumia mkopo wa Benki ya Dunia ili kusaidia elimu ya Tanzania na kupunguza uhaba wa shule na madarasa nchini.
Waziri Mkuu Majaliwa ameyasema hayo leo Februari 13, 2021, Bungeni Jijini Dodoma wakati akitoa hotuba ya kuahirisha Bunge ambapo amesema serikali kwa kiwango kikubwa imeshakamilisha mipango yake ya maendeleo hivyo kila Mtanzania ashiriki katika kuinua elimu ya Tanzania.
"Mheshimiwa Spika, baada ya kusema hayo, sasa naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu liahirishwe hadi tarehe 30 Machi 2021 siku ya Jumanne saa 3:00 asubuhi katika ukumbi huu hapa jijini Dodoma", amesema Waziri Mkuu.
Huo mkopo si wangeutumia kujenga vyuo 1000 vya VETA kwenye kila Kata Nchini badala ya kujenga hayo madarasa kwa lengo tu la kuongeza idadi ya wanafunzi kusoma elimu ya Sekondari na baada ya miaka minne kupata divisheni 0!
I wish na watoto wao wangekuwa wanaanza kidato cha kwanza kwenye hizo shule zao za Kata ili kututhibitishia uzalendo wao! badala ya kuwakimbiazia Canosa, Feza, Marian, St Mary's, nk.