Umeongea ukweli mtupu ,nchi yetu mara nyingi viongozi huja na matamko tu bila kupima,kuchunguza na kufuatilia.So funny politics but nothing
Wao Helsb wanadai kuwa mwaka huu wanufaika watakuwa 42k while mwaka jana walikuwa 70k+ na wanadai kuwa hizo pressure za wasiansa watakabiliana nazoUmeongea ukweli mtupu ,nchi yetu mara nyingi viongozi huja na matamko tu bila kupima,kuchunguza na kufuatilia.
Yah ,Inabidi mambo yafanyike kiuweledi na kutoa ufumbuzi wa kudumu isewe matamko ya zima moto.Wao Helsb wanadai kuwa mwaka huu wanufaika watakuwa 42k while mwaka jana walikuwa 70k+ na wanadai kuwa hizo pressure za wasiansa watakabiliana nazo
Tanzania 🤣🤣🤣Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo.
Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata mikopo, kuzuiliwa Vyuoni kutokana na Bodi ya Mikopo kutowapa au kuchelewesha Mikopo yao.
Spika Tulia amesema Wanafunzi wote wenye vigezo vya kupata Mikopo warudi vyuoni na Serikali ihakikishe wanapokelewa wakati ikiendelea kutafuta fedha.
Hizi akili za ccm,zimeoza sasa Hilo agizo ndio litaleta fedha?fedha haziletwi na matamko!!bodi ya mikopo inapokea pesa kutoka hazina !kama pesa haitoshi,hiyo mikopo itatoka wapi?Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo.
Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata mikopo, kuzuiliwa Vyuoni kutokana na Bodi ya Mikopo kutowapa au kuchelewesha Mikopo yao.
Spika Tulia amesema Wanafunzi wote wenye vigezo vya kupata Mikopo warudi vyuoni na Serikali ihakikishe wanapokelewa wakati ikiendelea kutafuta fedha.
Serikali ipunguze waendao Chuo KikuuMakusanyo duni. Kundi kubwa la wanufaika bado wanatanga tanga mtaani
Either Serikali ili Refund mfuko OR kutoa ajira mpya Bodi wapate Client wengi kuongeza makusanyo.
Wewe unafanya kazi HESLB? Kwanini speaker na wabunge wasihoji na kutafuta suluhisho? Bunge si moja ya mihimili mikuu mitatu katika utekelezaji wa masuala muhumu yahusuyo mustakabali wa nchi?!Huyu Tulia anabwabwaja tu. Amri hiyo anampa nani? CEO wa HESLB au Samia? Mazuzu yamekaa humo eti wabunge. Kwenye katiba ambayo hairuhusu imperial presidency, wabunge wanaweza kui command serikali, siyo kwetu kwa wajinga!
Futuhiiiii ndiyo ni FUTUHI.Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo.
Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata mikopo, kuzuiliwa Vyuoni kutokana na Bodi ya Mikopo kutowapa au kuchelewesha Mikopo yao.
Spika Tulia amesema Wanafunzi wote wenye vigezo vya kupata Mikopo warudi vyuoni na Serikali ihakikishe wanapokelewa wakati ikiendelea kutafuta fedha.
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo.