Bunge laitaka Serikali kuhakikisha wanafunzi wenye sifa na wamekosa mikopo kupokelewa Vyuoni haraka

Bunge laitaka Serikali kuhakikisha wanafunzi wenye sifa na wamekosa mikopo kupokelewa Vyuoni haraka

Wakuu hii habari inaukweli wowote na kama ni kweli nani mwenye taarifa ya kina[emoji116]
IMG-20221101-WA0006.jpg
 
Aisee cjaelewa yaani watoto wapokelewe kwa misingi ipi!!?? Yaani wasajiliwe au iweje
 
Mnapokelewa huku mnaendelea kusubiri ada mkopo,

Sasa mtakaa majumbani hadi lini??

Halafu nyie ndiyo mlikuwaga 4m4 wa kwanza kwa magufuli na mlifaulu balaa,angekuwepo wote mngepata mkopo,

Serikali imeelemewa,
 
Mnapokelewa huku mnaendelea kusubiri ada Kutoka makwenu,

Sasa mtakaa majumbani hadi lini?? Serikali imeelemewa,
Basi me naona wapumbavu, kwa sababu huwezi niambia niende shule wakati hujui hali ya maisha yangu
 
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo.

Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata mikopo, kuzuiliwa Vyuoni kutokana na Bodi ya Mikopo kutowapa au kuchelewesha Mikopo yao.

Spika Tulia amesema Wanafunzi wote wenye vigezo vya kupata Mikopo warudi vyuoni na Serikali ihakikishe wanapokelewa wakati ikiendelea kutafuta fedha.
Ni siasa tu mdogo wangu,ccm washapanga yao chinichini
 
Hizi ni siasa za kishamba haiwezekani kila mwenye sifa za kupata mkopo akapata na hii ipo toka bodi hii imeanzishwa! Haiwezekani kila mwanafunzi akapata mkopo eti kisa ana sifa labda watwambie tangia lini kila mwenye sifa anapata mkopo?

Pamoja na shida waliyonayo bodi ya Mkopo ila naona kuna dalili ya wazi kabisa hapa CEO wa bodi ya mkopo anaundiwa zengwe na sababu ya kufukuzwa!
Ikiwezekana afukuzwe waje wengine tuone utendaji wao pia
 
Wangewapa hawa waliokosa kwanza halafu mambo mengine ndo yaendelee
 
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo.

Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata mikopo, kuzuiliwa Vyuoni kutokana na Bodi ya Mikopo kutowapa au kuchelewesha Mikopo yao.

Spika Tulia amesema Wanafunzi wote wenye vigezo vya kupata Mikopo warudi vyuoni na Serikali ihakikishe wanapokelewa wakati ikiendelea kutafuta fedha.
Kwa hili nalipongeza Bunge letu wamejitahidi kufanya kazi yao.
 
hata mm
Huyu Tulia anabwabwaja tu. Amri hiyo anampa nani? CEO wa HESLB au Samia? Mazuzu yamekaa humo eti wabunge. Kwenye katiba ambayo hairuhusu imperial presidency, wabunge wanaweza kui command serikali, siyo kwetu kwa wajinga!
imenishangaza hiyo kauli wakati hata matamko ya serikali yenyewe hayatekelezwi na watendaji wake.natakumbuka jinsi nilivyopata adha wakati nampeleka mtoto wangu Kishoju High School pale Muleba kagera.baada ya kutinga tu ofisini cha kwanza nikaulizwa ada ya mtoto nikawauliza mbona serikali imefuta ada hiyo.hapo ndo lilipoanza sakata.ikabidi nipige simu haraka nyumbani wakatume kale kabalansi kalikobaki kumnusubiri kijana wetu.ndo hayo ya bunge kusema watoto wapokelewe vyuoni.hizo ni kiki tu za maandalizi ya uchaguzi wa 2025.ngoja tusubiri hiyo drama.
 
Huyu Tulia anabwabwaja tu. Amri hiyo anampa nani? CEO wa HESLB au Samia? Mazuzu yamekaa humo eti wabunge. Kwenye katiba ambayo hairuhusu imperial presidency, wabunge wanaweza kui command serikali, siyo kwetu kwa wajinga!
Bunge linaweza kutoa azimio tu halina uwezo wa kuagiza. Tulia akicheza atatulizwa punde tu. Cha kufurahisha ni kuwa wanatuaminisha bajeti inapitishwa bungeni hivyo wameipa helsb bajeti yakutosha? Na je tunasera kwamba vijana wote wenye vigezo lazima wapate mkopo?. Ni vizuri kuibana serikali lakini mchakato wake si rahisi. Kama kweli wameamua basi wakaliamshe huko ccm halafu ccm wajiagize au waiagize serikali yao kulifanya hilo kidharula.
 
waiagize serikali yao
Kuiagiza serikali ni kumuagiza Rais (Imperial president, you undertand the powers of such presidents) wao ambaye ni Alpha na Omega. And therefore hakuna "CCM" wa kuiagiza serikali kwa vile CCM mwenye nayo ni RAIS, ukichezea urais wake anakutimua... and the is the end of you!
 
In theory ccm inaweza kuiagiza serikali in practice wamshawishi raisi. Katiba inasema raisi halazimishwi kufuata ushauri wowote. Raisi wetu pia anaweza kuzuka na lake na bunge lisiwe na sauti isipokuwa kuunga mkono.
 
Uko sahihi kabisa...100%
 
Waache unafiki!! Mbona enzi za mwendazake tulikusa mikopo wengi sana lakini halikutusemea..!
 
Huyu Tulia anabwabwaja tu. Amri hiyo anampa nani? CEO wa HESLB au Samia? Mazuzu yamekaa humo eti wabunge. Kwenye katiba ambayo hairuhusu imperial presidency, wabunge wanaweza kui command serikali, siyo kwetu kwa wajinga!
Imperial Presidency ni bora kuliko imperial bunge. NAZI lilikuwa Bunge, Hitler alikuwa mtu tu. Communist Party is always imperial bunge. Rais usisahau ni mtu mmoja watu wamemchagua. Think again, Magufuli alipata 87%/23% za tundulissu huwezi hata tu kuwalinganisha.
 
Back
Top Bottom